Lowassa, jiwe litakaloitesa CCM 2020

Hakuna mzigo mzito chadema wameubeba kama huu wa ''Team Lowasa '' hawa washaamua nani ni mgombea tangu oct 29 2016 na hakuna wa kuwagusa. Hawa watu ni ''Lowasa kwanza chadema baadae'' ukitaka wakutukane waambie 2020 tutakuwa na mchakato wa ndani ya chama kumtafuta mgombea.
Hawa ni waajiriwa na wanatetea vibarua vyao.
 
on, post: 18992901, member: 383977"]Hivi nini maana ya neno uchumi ukinifafanulia nitakuelewesha huyu mtu anachokifanya.[/QUOTE]
Kua uyaone inaonekana unakula kwa mama au upo kama le mutuz
 


Mbona ccm pia wameshaamua mgombea wao Magufuli2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…