Lowassa, jiwe litakaloitesa CCM 2020

MBELE YA JPM HILO NI DONGO TU WALA SI JIWE CHOCHOTE. ENDELEA KUOTA NDOTO ZA MCHANA !
 
Jiwe litakalo jitesa jenyewe kwa kupigwa nyundo na watu watoe kokoto za kujengea
 
Jamaa mnatia kinyaa sana mnapokuja humu kututangazia viwango vyenu vya upumbavu.

Lowassa alitajwa kuwa fisadi kwenye list of shame mwaka 2007 kabla ya tume ya Mwakyembe ya mwaka 2008.

Au CDM nao waliunda tume ya List of shame ndiyo unailalamikia hapa?

Kama mliweza kuwahadaa watu kwa miaka 8,Kuna haja ya kuaminiwa kwa lipi sasa?

Mnatakiwa mumuombe msamaha huyo mshua na watanzania kwa ujumla.
 
Kusipokuwa na mabadiliko katika tumr ya uchaguzi asigombee kwa sab tumechoka kusikia ameibiwa kura au tume sio huru.
 
Lowasa ni mwanasiasa mzuri sana. Lakin muda umempita lowasa. Siasa za boys to men zimepitwa..tunahitaji mtandao mpya. Lowasa ana mvuto km tu jk naye angekuwa relevant. Jk kastaafu ni vyema na lowasa naye astaatu. Lowasa bakia na utoe MTU mwngne atakaye leta ushindani kwa rais magufuli.bakia kuwa mzee wa chama maarufu tu.
 
Fisadi no one is clean, tafuta ela kimpango wako utazeekea umu jf hamna msaada. Rat race
 
Tuache kujifariji kwingine, Lowasa angaitesa CCM 2015, sio 2020 maana ndo kwanza alikuwa wa moto wakati ametoka CCM, ukumbuke na hao ccm wenyewe wanajipanga hiyo 2020,.
Kama ni changamoto kwa CCM zitasababishwa na udhaifu wa CCM kwa miaka michache iliobakia, na si nguvu ya mtu (Lowasa). Cha muhimu ni kujipanga na kufukia mapungufu yaliyotokea hapo mwanzo. Ni wazi ana nguvuvza kisiasa ndio maana alipata kura nyingi lakini c kwamba 2020 atakuwa amepata upako wa ziada iki kushinda.
 
Binafsi naamini Lowasa ikulu haendi labda sir God aamue mwenyewe...
 
Hakuna kama lowassa
Ni nani? Na amefanya nini? Mpaka hakuna kama yeye!

Bora ata ungesema hakuna kama Mwl. Nyerere kwa sababu alipigania kuupata uhuru toka kwa wakoloni hapa angalau ambao shule ipo kichwani watakuelewa
 
Mwambieni babu yenu Lowassa
Hatakuja kuja rais wa nchi hii
Aende tu akachunge mifugo yake
Kama alivyoahidi
 
Kwahiyo Lowassa Ashateuliwa Kuwa Mgombea Wa Ukawa 2020 ?

- Chadema - Chama Cha Demokrasia !!!!!
 
Kula tano mwanangu.

Lowasa alihujumiwa na Chikwete
 
Lowassa ni mwiba mchungu sana kwa serikali ya ccm hawawez kukaa bila yakumhofiA MTU huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…