Lowassa its time to fight...!

Lowasa Lowasa, mwachekini jamani, hizo nguvu mnazozisema kazipata wapi? Kwangu mimi Lowasa si kitu si chotete. Alafu Chadema wanamuandama sana kwasababu ni muislamu eeeh.....achani izo bana.
 
Wakuu inaelekea mimi nina allergy na EL, akiongelewa tu napata kichefuchefu kikifuatia kutapika, kutoa ushuzi na kuharisha.

tafadhali kapime mkojo utakua na mimba changa au kitu kinachofanana na hiyo.
 
Lowasa and kundi dogo sana ambalo nguvu yake kubwa(RA) ilishajivua gamba waliobaki nyuma yake ni walafi wanatafuna hela zake alizotuibia na wengine tunao humu JF, wenzake wana kundi kubwa japo hawana nguvu ya pesa lakini wanaweza kuwa strong na kummaliza kisiasa kwa urahisi sana. kikubwa anachotakiwa sasa hivi kufanya ni kutubu na kuomba msamaha kwa watanzania kwa kuwaibia mali zao na kuleta kampuni ya kitapeli ya Richmond/Dowans na kufanya tatizo la umeme kuwa kubwa zaidi na mgao usiokwisha


In politics you must always keep running with the pack. The moment that you falter and they sense that you are injured, the rest will turn on you like wolves. --- R. A. Butler


.
 
IQ ya EL ni ndogo sana pesa za wizi ndo nguvu yake amekataliwa kwao na mkwewe atakenda wapi ila kwa kuwa hana akili ataendelea kugwa mihela tu...............acheni watu wale mpunga, wajinga ndio waliwao!
 
"JOKA LA MDIMU" Lema kasema "wao wana pesa,sisi tuna Mungu" endeleeni kujipendekeza na kumpumbaza 2015 kama Arumeru.
 
Back
Top Bottom