Lowassa: Hatutakubali Matokeo ikiwa...


Miaka yote uchaguzi Tanzania hauko huru tatizo wananchi Wa Tanzania wapenda Amani ila mwaka huu ,ngoma inogile
 
Tujiandae kufa kwa huduma mbovu za afya nchini endapo ccm itarudi
 

Atakuwa ana HAMU YA JUISI YA IKULU Huyo.Aende kwanza Chato akafanye usafi #TeamKujinyea
 
hivi hili lindondocha linadhani litashinda?
 


Lowassa Mwenyewe ni Jeneza Linalotembea, sasa atamtwanga nani au anataka kuwashakizia vijana wa kimachinga?
 
mzee unapenda sana kutoa masharti utadhani we ndo mgawa ridhiki za watu
 

Amenusa kushindwa huyo
 
Bahati mbaya Magufuli hana neno busara kwenye kamusi yake so mkileta ujinga huku mnategemea kwenda kufyonza juice ikulu kama zama za JK,imekula kwenu.

Lowassa mwenyewe hata kuongoza maandamano akiwa front line hawezi maanake zikitua rungu mbili za ugoko basi kesho yake mahema Monduli.

Ngoja tuone...
 

Ameishaanza kuona kushindwa kunakuja.

Kukataa matokeo tunatambua ndilo jambo Lowassa na UKAWA watafanya tarehe 26/10, hili ni jambo la kawaida kwa siasa za Afrika, hatuna utaratibu wa kukubali matokeo.
 
Ila kuna watanzania mazezeta yani hawa ccm wanavyotuibia mihela mikibao alafu wanasema Et ni hela ya mboga, alafu et mtu anashangilia na kuwapa kura dah!

Kwenye uchaguzi kati ya fisadi Lowassa na muadilifu na mchapakazi Magufuli hakuna namna mwenye akili njema ataacha kumpa kura Magufuli.

UKAWA imejiharibia kwa kugeuka maficho ya mafisadi.
 

Watanzania tumewachoka mafisadi ambao kwenye uchaguzi huu wapo nyuma ya Lowassa.

Tunataka mabadiliko bora yatakayoletwa na Magufuli.
 
Patachimbika wakati hata kutembea kwa haraka ni mgogoro!

Kwani ni lini aliwahi kusema uchaguzi umefanyika kwa haki na huru?

Si ndiyo hawa hawa walisusia bunge wakati wa ufunguzi lakini wakashindwa kusamehe mishahara na posho za wabunge.

Watu wa mitaani wanasema, anamtisha nyani!
 
Tujiandae kufa kwa huduma mbovu za afya nchini endapo ccm itarudi

Ufisadi unaowakilishwa na Lowassa kwenye uchaguzi huu ndio tatizo namba moja la nchi hii, bila kuwafagilia mafisadi hawa huwezi kuleta maendeleo yoyote.


Ni wakati wa serikali kuwashughulikia mafisadi hawa kwa nguvu zaidi kama alivyoahidi Magufuli.
 
Mpaka nakosa ufahari wa kujiita mtanzania

Ni kweli,unapoona fisadi kama Lowassa eti naye anapata ujasiri wa kugombea urais unabaki kujiuliza hivi wametuona wajinga kiasi hicho?anaenda kupata kipigo kikali tarehe 25/10.
 
Watanzania tumewachoka mafisadi ambao kwenye uchaguzi huu wapo nyuma ya Lowassa.

Tunataka mabadiliko bora yatakayoletwa na Magufuli.

Akili zako zipo zimeinamia wap? Mafisadi ccm leo wamejeuka kuwa malaika? Magufuli ni Mungu awe amewapiga sala ya toba? Naje huyo maguful ashatoka huko ccm au bado yupo huko? Kama bado yupo huko y hatukuwahi kumsikia akipiga vita ufisadi kuanzia epa, richmond, escrow n.k walau kwa kutumia kofia ya ubunge akiwa bungeni kama kwel ana dhamira ya kwel? Namuona magufuli kama mafisadi wenzie tu huko ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…