Kweli maneno ya kuwekewa uyaseme ni mabayaaa yaani baasi tu. Ati ni mgonjwa hatakuwa na nafasi ya kukaa ofisini aongoze. Christofa Kolumbus amekaa siku ngapi ofisini muda wote wa vipindi viwili?? Jamani, tafuteni sababu za kumkataa Lowasa sio vijimambo. Ati ni mgonjwa; jiulize, ameanguka mara ngapi jukwaani?? Amelazwa mara ngapi tangu aanze mtanange huu wa kampeini?? Mlisema hamalizi mikoa 2 sasa bado siku chache na amezunguka kiila mkoa na wilaya ni nyingi tuu amefika. Cheap politics za Lumumba sidhani ka zitawabadili Watz walioichoka CCM.
Jikiteni kwa yale mliofanya miaka yoote 54 msijikite kwenye matusi ya kumtukana Lowasa kwani mkimtukana mnawatukana 85% ya Wapenda mabadiliko.
Hakuna mwingine kuingia Ikulu bali ni LOWASA . Mnaoamini atalipiza visasi mnalo mlomtenda. Miye mbona sina hofu?? 85% ya Watanzania mbona hawana hofu?? Nyiye mliobaki ambao ni chini ya 5% ya Watanzania, hameni tuu mhamie mnakoweka vijisenti vyenu mkale mfie huko. Tanzania itajengwa na wenye mapenzi ya kweli nayo.
Kataa au kubali lakini TUNAJUA TUNACHOKITAKA KWA SASA NACHO NI LOWASA