Lowassa hatukuwa rais kwasababu

Lowassa hatukuwa rais kwasababu

Mondoros

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
629
Reaction score
474
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!
 
wewe ni mdadavuaji hodari sana na umenitoa dukuduku na matongo tongo yangu,hakika sitafanya makosa kumchagua huyu walking corp
 
Endapo uchaguzi utakua wa haki na huru KURA YANGU NDIO ITAKAYOAMUA NANI ATAKUA RAIS.
 
wewe ni mdadavuaji hodari sana na umenitoa dukuduku na matongo tongo yangu,hakika sitafanya makosa kumchagua huyu walking corp

Na Lowasa huyo uliemsema ndie watanzania,makada wa ccm waliochoka uovu wa CCM...ndie wanaemtaka.Despite all the presumptiv weaknesses.

AFTER ALL THIS IS NOT HEAVEN,WE ARE NOT LOOKING FOR ANGEL.
 
edward lowasa hatokuwa rais wa tanzania kwasababu....

1.hajui kabisa kutawala kwa kuongozwa na sheria, mara nyingi amekua akifanya kazi kwa misukumo ya marafiki zake na interest zake mwenyewe na ndio maana kila kona amekua akiiba na kuharibu kazi hata kutuingiza hasara kama taifa, nakutimua watu kazi hovyo hovyo kwasababu hawamtengei fedha za matumizi yake.
2. Hli yake kiafya ni mbaya sana hivyo kuongoza hatoweza kabisa, nchi inataka watu watakaotumia mda mwingi kupambana na shida za watu. Sasa lowasa na ugoigoi hatoweza mikikimikiki ya ikulu zaidi ya kutumia mda mwingi hospitalini.
3. Hana busara na mwono wa kitaifa, mpaka sasa lowasa amekata tamaa ya kuendelea na mchakato ila marafiki wake wenye nia mbaya na taifa wanazidi kumlazimisha kwa nguvu ili waje kujichotea mali za umma, hivyo anaendelea na kampeni ili aje kuwaachia rafiki zake mali za umma.
4.kampeni zake, nyingi za kampeni zake lowassa amekua asikiki nini anasema, kwa maana nyingine hana sera za msingi kwa watanzania, hivyo kuonyesha kuwa kimsingi hajajipanga kimantiki kuwa rais wa taifa tanzania.
5. Chuki na visasi, lowasa ni mtu wa chuki na visasi hivyo hatoweza kuongoza kwa usawa na uhuru wa watu kutoa maoni na kukosoa serikali. Mfano lowasa alibanwa na mh mangula miaka ya 2007 na mwaka 2008 akamchezea rafu kama sehemu ya kutekeleza visasi na kuendeleza chuki, pia baada ya makongoro kuwashughulikia 2008 lowassa akija kutekeleza chuki zake 2012 wakati makongoro anagombea uwenyekiti wa ccm mara.

say no to lowassa.........say no to lowassa....say no to lowassa!!!!!

Na Lowasa huyo uliemsema ndie watanzania,makada wa ccm waliochoka uovu wa CCM...ndie wanaemtaka.Despite all the presumptiv weaknesses.

AFTER ALL THIS IS NOT HEAVEN,WE ARE NOT LOOKING FOR ANGEL
 
Kada gani wa ccm aliyechoka uovu wa ccm wanamtaka? Yaani nyie kilichoonekana hakifai ndani ya CCM mmeona mkichukue? Kalagabaho
 
Usiseme hatakuwa rais....sema hutampigia kura...tutamchagua hivyo hivyo,bora tumchague mtu wa visasi kuliko kuichagua tena CCM.over our dead bodies!!
 
kwahiyo watanzania wanao muunga mkono nivichaa,weka naa kili achana napropaganda
 
Huna lolote jipya!
Tunajua huu mda wenu wa kwaya umeanza ili buku 7 isome!
Vyovyote vile! Kura yangu na familia yangu na 75% ya wanaomzunguka kwa lowassa! Am done
 
No Lowasaaa, No Lowasaa
Ikulu itaiona kwa nje tu
Huna lolote...huna wala hakuna mwenye hatimiliki ya Tanzania..wala hakuna sehemu pameandikwa kwamba ccm nawachumia tumbo watatawala milele...
 
Hoja nyepesi,cheap politics. Tuna Raisi mgonjwa wa Tezi D mbona anaongoza..CCM OUT
 
Kada gani wa ccm aliyechoka uovu wa ccm wanamtaka? Yaani nyie kilichoonekana hakifai ndani ya CCM mmeona mkichukue? Kalagabaho

Kama hafai kwann mnakesha kutumia mabillioni kumzuia asiingie ikulu..wengine mna miezi 3 hamjalala na wake zenu juu ya stress ya El..wacha 25 tuamue
 
1. Ana tuhuma za UFISADI.
2. Afya si nzuri
3. HAMAANISHI ASEMACHO/ Kigeugeu/ ndumila kuwili.
4. Sio muadilifu.
5. Anataka kununua urais.
6. Sio mchapa kazi.
7. ............
8. ..............
9. ...............
10. nk
 
Kama hafai kwann mnakesha kutumia mabillioni kumzuia asiingie ikulu..wengine mna miezi 3 hamjalala na wake zenu juu ya stress ya El..wacha 25 tuamue

We neemaeli unaamua nini wakati kabila lako lilishakufanyia maamuzi toka kitambo
 
Back
Top Bottom