Lowassa hatachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM urais 2015!

Lowassa hatachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM urais 2015!

Wakuu! Heshima mbele!

Ipo hivi:
Lowassa hatapeperusha katu bendera ya CCM urais 2015. Ma don wa chama wameshaafikiana tayari kuhusu hili. Tathmini makini iliyofanywa na chama imebaini kuwa CCM wanaweza kushinda urais 2015 kwa namna yoyote ile iwe kwa kutumia mkono wa chuma ama mbinu yeyote ile haramu, lakini kushinda watashinda.

Kinachowaumiza kichwa ni je kama wakishinda kwa uharamia kama walivyozoea vipi kuhusu amani ya Taifa? Nchi itaendelea kuwa tulivu kwa kiwango cha kuridhisha ama itakuaje? Hili la amani ndilo linaloleta utatanishi kwa sasa, lakini si kuhusu kushinda uchaguzi!

Lowassa atakatwa jina kwa sababu hizi hapa:

1. Mahasimu wake waliopo ndani ya chama wamejipanga vilivyo

2. Kauli ya Mbowe kuwa Lowassa ni bubu hawezi kuongea kwenye ulingo wa siasa

3. Kauli ya Dr Slaa kuwa hawezi kula sahani moja na fisadi.

Hizi kauli za Mh Mbowe na Dr Slaa zimetoa kiashiria kuwa Lowassa hawezi kupokelewa UKAWA, na hata akienda ACT hatakuwa na madhara makubwa maana chama kimeamua kushinda uchaguzi kwa mbinu yeyote ile iwe haramu ama halali

4. Ukwasi wake mkubwa unaotumika kupata urais wa JMT hili litaadhiri taswira ya chama (jembe na nyundo) na sasa kuonekana ni chama cha matajiri. Ikumbukwe wapiga kura wengi ni wa kipato cha kati na cha chini na sio matajiri. Hivyo chama kitavaa koti la ufisadi mchana kweupee kama huyu ndugu akiteuliwa kugombea urais

5. Lowassa alichelewa kujisafisha, sasa hivi hasafishiki tena akiwa kwenye ulingo wa mapambano, amechelewa. Ni kweli kuwa ndani ya chama hakuna msafi lakini yeye kakosea strategy za kujisafisha

6. Lowassa hajaweka hadharani mpango wake wowote wa kushawishi wananchi kuhusu urais wake kama atateuliwa.

Mfano: Lowassa anazungumzia ajira lakini hajaweza kutoa muelekeo wowote wa namna ajira hizo zinavyopatikana kiasi cha kuwashawishi wananchi.

Hajatoa mpango kazi wowote wa namna ya kuimarisha elimu kama anavyotanabaisha kuwa elimu kwake ndio kipaumbele, yeye anaongea tu kuhusu umuhimu wa elimu lakini hajaeleza waziwazi kuhusu udhaifu wa mfumo wa elimu iliyopo sasa hivi na nini atakachokifanya kuboresha. (watu wengi watasema sasa haya si atatoa wakati wa kampeni? ukweli ni kuwa alipaswa kuweka mipango yake wazi mapema sana ili kupata ushawishi kutoka kwa wananchi kiasi cha kuwatishia ma don wa chama kukata jina lake).

Tuendelee kusubiri kuna plans B dhidi ya Lowassa. Plan B hii ni kwa ajili ya kunusuru chama ndani ya chama

Precisely 100%.
 
Hiki chama nionavyo mimi hakijajiandaa na uchaguzi wala kumwandaa mgombea.Amini nawambia kile kilichotokea kuchagua speaker ndicho kitakachotokea kwa mgombea! Mwanamke au zamu ya zanzibar!je watz mko tayari?
 
nina mengine na sio lingine ila uache kwanza tabia za kiswahili za kuita watu "dogo" una uhakika gani kama mimi ni dogo au sio, mbona mimi sijakuita "kilema"?

All in all you have no any justification that EL had his hands in richmond saga ni propaganda tu za kisiasa ambazo wewe kwa kutoijua siasa ung'akang'aka.
Tabia za kidhungu ndio zipi dogo??????
Mimi ni mswahili atii, hivo nakideal kiswahili vilivyo upo hapo dogo????
Pia neno dogo halikuweki kwenye kundi fulani bali linakuonyesha tu kuwa mimi ni dada yako, yaani mkubwa kwako.

Kuhusu EL hapo haihitaji justification yoyote, alituibia basi, mmechelewa kumsafisha na pia yeye kachelewa kujisafisha.

Sina swali maana sitapata jibu jipya, over

nimekupuuza tu nifanye ya maana, ungekuwa mkubwa ungekuwa na fikra pevu pia.
 
mkuu wewe ndio una bwabwaja tu kama hahusiki alikuwa wapi?muda wote until today ndio anakuja na mkakati wa kujisafisha jamaa kafanya timing ya kijinga sana never seen before kuwa naweza kuwa na mikakati mibovu kiasi hicho
naweza sema jamaa huyu alishiliki kwenye hii saga 100% ,pia anawalinda wezi Wa hii ndili ili kukinusuru chama ?je huu ndio uzalendo tunao uhubiri kwenye majukwaa ya siasa?

kajipange upya maana umechelewa
 
Unaesema hatachaguliwa na CCM unachekesha, USIPIME jeuri ya pesa ndefu isiyo na kikomo. Angalia sasa karibu asilimia 98 ya vyombo vya habari vinafurahia pesa na kumpamba kila kukicha, watukibao sababu ya njaa kawanunua, watumishi wa Mungu makanisani na misikitini wanachekelea pesa yake. Hivyo wanasema ndiye anakubalika. CCM Tayari inaogopa kabisa kutia neno maana kawabana kwenye kona. Usicheze na Pesa ndefu bwana, yeye EL na Matajiri wenzake wanajua akiingia IKULU tu Pesa yote itarudi Mara 1000 maana wamewekeza, na sisi WATANZANIA ni mbumbu mzungu wa reli, tunafuata upepo wa vyombo vya habari ambavyo vilinunuliwa siku nyingi saaaana.
 
ndani ya ccm kwa sasa hakuna wa kumshinda lowasa kamwe. ameshateka idadi kubwa ya wajumbe ndani ya ccm.
 
Urais wa pesa, duuu! Marafiki wakitaka kurudisha fedha zao utawazuiaje?
 
nina mengine na sio lingine ila uache kwanza tabia za kiswahili za kuita watu "dogo" una uhakika gani kama mimi ni dogo au sio, mbona mimi sijakuita "kilema"?

All in all you have no any justification that EL had his hands in richmond saga ni propaganda tu za kisiasa ambazo wewe kwa kutoijua siasa ung'akang'aka.

Uliza uelezwe kinagaubaga
hilo jambazi sugu halisafishimi kwa dodoki wala msasa,bungeni wabunge wanakemea ufisadi yeye kimya sijawahi kumsikia hata siku moja.dada kamwambie huyu hawala yako kwamba watanzania hawakupendi.
 
ndani ya ccm kwa sasa hakuna wa kumshinda lowasa kamwe. ameshateka idadi kubwa ya wajumbe ndani ya ccm.

Kwa Pesa Za kifisadi, na matajiri wenzake waliopanga kufisadi na kula pesa ya WATANZANIA na kukwepa kulipa KODI Lowasa akiingia IKULU sababu wamewekeza mabilioni
 
Wakuu! Heshima mbele!

Ipo hivi:
Lowassa hatapeperusha katu bendera ya CCM urais 2015. Ma don wa chama wameshaafikiana tayari kuhusu hili. Tathmini makini iliyofanywa na chama imebaini kuwa CCM wanaweza kushinda urais 2015 kwa namna yoyote ile iwe kwa kutumia mkono wa chuma ama mbinu yeyote ile haramu, lakini kushinda watashinda.

Kinachowaumiza kichwa ni je kama wakishinda kwa uharamia kama walivyozoea vipi kuhusu amani ya Taifa? Nchi itaendelea kuwa tulivu kwa kiwango cha kuridhisha ama itakuaje? Hili la amani ndilo linaloleta utatanishi kwa sasa, lakini si kuhusu kushinda uchaguzi!

Lowassa atakatwa jina kwa sababu hizi hapa:

1. Mahasimu wake waliopo ndani ya chama wamejipanga vilivyo

2. Kauli ya Mbowe kuwa Lowassa ni bubu hawezi kuongea kwenye ulingo wa siasa

3. Kauli ya Dr Slaa kuwa hawezi kula sahani moja na fisadi.

Hizi kauli za Mh Mbowe na Dr Slaa zimetoa kiashiria kuwa Lowassa hawezi kupokelewa UKAWA, na hata akienda ACT hatakuwa na madhara makubwa maana chama kimeamua kushinda uchaguzi kwa mbinu yeyote ile iwe haramu ama halali

4. Ukwasi wake mkubwa unaotumika kupata urais wa JMT hili litaadhiri taswira ya chama (jembe na nyundo) na sasa kuonekana ni chama cha matajiri. Ikumbukwe wapiga kura wengi ni wa kipato cha kati na cha chini na sio matajiri. Hivyo chama kitavaa koti la ufisadi mchana kweupee kama huyu ndugu akiteuliwa kugombea urais

5. Lowassa alichelewa kujisafisha, sasa hivi hasafishiki tena akiwa kwenye ulingo wa mapambano, amechelewa. Ni kweli kuwa ndani ya chama hakuna msafi lakini yeye kakosea strategy za kujisafisha

6. Lowassa hajaweka hadharani mpango wake wowote wa kushawishi wananchi kuhusu urais wake kama atateuliwa.

Mfano: Lowassa anazungumzia ajira lakini hajaweza kutoa muelekeo wowote wa namna ajira hizo zinavyopatikana kiasi cha kuwashawishi wananchi.

Hajatoa mpango kazi wowote wa namna ya kuimarisha elimu kama anavyotanabaisha kuwa elimu kwake ndio kipaumbele, yeye anaongea tu kuhusu umuhimu wa elimu lakini hajaeleza waziwazi kuhusu udhaifu wa mfumo wa elimu iliyopo sasa hivi na nini atakachokifanya kuboresha. (watu wengi watasema sasa haya si atatoa wakati wa kampeni? ukweli ni kuwa alipaswa kuweka mipango yake wazi mapema sana ili kupata ushawishi kutoka kwa wananchi kiasi cha kuwatishia ma don wa chama kukata jina lake).

Tuendelee kusubiri kuna plans B dhidi ya Lowassa. Plan B hii ni kwa ajili ya kunusuru chama ndani ya chama
........asante kwa taarifa, ulitaka aweke mipango yake wapi wakati hajatangaza nia ya kugombea?? mambo kwa step, leo utaanza kupata majibu ya baadhi ya masawali yako!!!!
 
Sijasema dhambi tafadhali usiniwekee maneno kinywani, hata hivyo sijafanya dhambi yakumuathiri binadamu mwenzangu ndio maana nipo na amani tele.

Ila huyo unayemtetea aliathiri mamilioni ya watu, na kuturudisha nyuma kiuchumi hasa baada yakutuletea mgao fake wa umeme usio elezeka. dogo labda wewe ulikuwa mdogo hujaanza maisha ndio maana hujui namna gani watu tulisuffer na ishu ya richmond.

una lingine??????

Dada yangu mi nawashangaa sana watanzania wenzetu. Kigezo kinachotumika kumpigia debe huyu mtu mi sikielewi hata kidogo. Wapi watu wanapata nguvu ya kusema huyu mtu msafi ilihali familia yake (CCM) Walishasema huyu mtu mchafu?!!, Ina maana wananchi sisi tunamjua zaidi kuliko walio ndani ya CCM kweli?!!.
Tuchukulie kama anavyosema mwenyewe Lowassa na kutuaminisha kuwa anasingiziwa kuhusu Richmond. Hivi mradi mkubwa kama huu haukuwahi kupita ofisini kwake kweli wakati yupo madarakani?!! Binafsi naamini lazima ulipitia kwenye Meza yake ili apitishe. Sasa Kama ulipita, hatua gani alichukua kuuzuia kupitia mamlaka yake?..hakuchukua hatua yoyote...ukapitishwa. Sasa anang'aka nini akiambiwa anahusika?!!!.Kiukweli CCM wakimteua Lowasa, halafu wananchi wakaridhia siku ya uchaguzi wakampa kura ya ndio kumuweka madarakani basi itakuwa maajabu ya karne. Lowassa, Chenge, Rostam, hawa walipaswa kama si kupigwa risasi hadharani, basi Walipaswa kusimamishwa pale Taifa halafu Wanapigwa mawe na Mwananchi mmoja mmoja mpake wafe kwa udhalimu wao.
 
tanzania ni moja ya maajabu ya dunia. kiongozi anachaguliwa kwa noti zake na sio uwezo wake na uadilifu.
 
Back
Top Bottom