Tunaiwaitaji sana tuna amini mtakuwa mmeokoka karibuni tuwaondowe hawa wabaofikiri kwamba wana nguvu zaidi!!nani kakudanganya Lowasa siasa imemshinda?
Jamani Lowasa alishakatwa na hajasema kitu. Kanyamaza kama wale wengine mf. pinda, bilal na wengineo. Lakini naona watu wanamsemea kwani amewatuma? Au yeye hakutakiwa kukatwa? Mwacheni mzee apumuwe jamani.nyie nyongeeni tu si safari ya ikulu ilishaanza...kilichomkalisha kimya dodoma ni nini kama ile kitu ilikuwa 'rough'? alafu lowassa ni nani yeye kila atakalo liwe kama alivyolipanga? hya ni maisha yanayohusisha binadamu ambao hawatabiriki..na kumbuka lolote linalomhusisha binadamu halitabiriki. Lowassa alijisahau kwamba mipango anapanga na "binadamu"ambao kubadilika ni sekunde.
Sipati Picha Lowassa angekuwa ndo Mgombea Familia ya Mh.Rais ingehimili kejeli na dhihaka za hali ya juu?
I disagree with you! Nothing will happen- Nothing! The person is too weak and timidThis is just the beginning my friend..... This is like the sleeping volcano my friend....!!!
This is the state of something dreadful my friend...!!!
Viongozi wa din waizi wamemkimbia
TISS KAZINI,hivi kwanini msiende hata kupepeleza hao raia wa kigeni wanaojiandikisha kwenye daftari la wapiga kura mnahangaika na propaganda za kijinga au ndo hivyo maadili ya kazi yenu hamuyajui tena
Zile kauli za patachimbika,hakatwi mtu,Lowasa ndio rais ajaye nk zimepotelea wapi? Kingunge alisema patachimbika,how and when? Hatusikii akiongea na vyombo vya habari,ukitaka kujua usaliti wa hali ni huu.
Wamemlia hela zake,wamemdanganya kuwa tutakuwa nawe kwenye shida na raha leo hii yako wapi? Suala la patachimbika waachie Dr Slaa,Mbowe,Lissu,Lipumba,Lema ama upinzani wote kwa ujumla wake.
Hawa akina Nchimbi,Simba na Kimbisa,ni lini walishawahi kulala hata lock up,ni lini alishawahi kutishiwa tu mkong'oto licha ya kupigwa marungu kama Prof Lipumba? Wamechimbwa mkwara tu mara moja,kimyaaa!!
Chama cha mapinduzi wakiwa upinzani itakuwa ni kama mbwa kibogoyo,wamekuwa wakilitumia jeshi la polisi kama jeshi la CCM,siku chama kingine kikishika dola na virungu viwageukie wao kazi itakuwa rahisi sana kuwanyamazisha maana hawajawahi hata kusikia sauti ya askari ikiwaamuru watulie.
Huu usaliti wa akina msukuma,mgeja ama wenyeviti wote wa mikoa wa CCM,kingunge,sofia simba,Nchimbi nk tujifunze kitu. Huu ndio usaliti wa hali ya juu kutokea,wamemlia hela zake,matokeo yake wamemkimbia na wamekaa kimya,njaa mbaya sana.