Lowassa hakujiuzule alifukuzwa- Makamba

Lowassa hakujiuzule alifukuzwa- Makamba

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00446.jpg
 
Makamba kaishia la 7 hajawahi kuongea hata mstari mmoja wa kiingereza
 
Hatuna shida na kiingreza tunachotaka ni kupata ujumbe tu.

Nyie ni vilaza,hivi ninani ambaye hajui kama lowasa alijiudhuru,great thinker huwa hashikiwi akili hata siku moja,kampeni maana yake ni kunadi sera sio kuongelea mtu,maana majukwaa ya ccm limetawala jina la lowasa tuu,wapi mmeshasikia lowasa kamzungumzia magufuli?siku zote huwezi kumzungumzia aliye chini yako bali aliyepo juu yako,lowasa kawashika pabaya wanatapatapa!!
 
Hii hadith ya Lowassa huenda ni ndefu sana maana kila siku mnatoa chapter!
 
Makamba kaishia la 7 hajawahi kuongea hata mstari mmoja wa kiingereza

Inawezekana kabisa wewe ndiyo umeishia darasa la saba. Nimemsikiliza vizuri hasa alipokuwa akizungumzia jinsi walivyofanya utafiti nimemwelewa. Nimeweza kujua elimu yake imefikia kiwango gani. Siyo darasa la saba.
 
Kuna video moja ninayo what's up lowasa akitoa sababu za kujiuzulu ndani ya bunge na spk akiwa sita kama unayo number y makamba weka hapa nimrushie fasta
 
Eti Kikwete kwanini Tanzania bado nimaskini?
A.ujui
B.ujaelewa swali
C.bado unafikiria
D.unajiuliza na wewe
 
Gazeti la uhuru kifo mkononi ccm ikiangukia pua.
Nimesoma hiyo habari nakuelewa kuwa akina Makamba walikutana na Lowasa mlangoni akiwa ametoka kumpa rais barua ya kujiuzulu, hivyo walivyoiingia walikuta barua imeshapokelewa na Kikwete. Ndipo huku wakinywa kahawa rais eti ndio akawaambia hayo maneno, ajabu sana! Yaani mwaka huu mizimu yote ya ccm itaibuka huko iliko kuokoa jahazi. Ikumbukwe mzee makamba ana pensheni yake ccm hivyo lazima akipiganie chama
 
Kama alifukuzwa mbona:
1. Hatukuambiwa kwamba amefukuzwa?
2. Mbona bado anapata haki zake kama mawaziri wakuu wengine wastaafu?
3. Mbona hakushtakiwa?
4. Mbona JK alikwenda Monduli 2010 kwenye kampeni na kumsifia sana EL kisha akasema alipata ajali ya kisiasa?
 
Hata hivyo ametumia kiswahili lakini tumemwelewa kuwa Lowasa alifukuzwa kwa ufisadi.

Toeni mambo yenu ya kiseng..eee hapa..kama ilifukuzwa kwa nini jk alihutubia wazee wa dar na kusema ile ni ajali ya kisiasa..haya mambo wadanganyeni wake zenu mkiwa mnawapakata...
 
Ah kumbe chanzo ni hiki kipeperushi cha Lumumba!!
 
Ukurasa wa mbele wa UHURU wamemtaja Lowassa mara mbili, Magufuli mara moja! Ingekuwa kura nani anaongoza?
 
Iwapo kafukuzwa mbona serikali ya ccm inamlipa mshahara na package ya Waziri mkuu mstaafu
 
Back
Top Bottom