Lowassa: Gwajima ni mnafiki

hiyo sifa ya fisadi mkuu kashapokonywa na wa msoga, kama unabisha basi yale matukio ya bandarini ni maigizo
 
...gazeti la 'Wembe'; yani watu wengine hawawezi kutulia hata kidogo wasome thread za wenzao, kila wakati kuweweseka tu, kwani ni lazima kila saa muanzishe mada huku? halafu unachangia mwenyewe kama kuku aliyekatwa kichwa.!!
 
...mjomba kuna mijitu minafiki sana humu,kutwa kuweweseka!
 
HUO NI UONGO ""THE LEGENDARY LOWASSA HAWEZI KUZUNGUMZA LOLOTE KWA SASA, KWANZA GAZETE LENYEWE LINAITWA WEMBE HUU NI UPUUZI""
ii
 
Duuuu!!! Maisha kweli ni safari ndefu.

Wewe na Wenzio humu mlikuwa kila siku mnatumia vifungu mbalimbali vya Biblia kuhalalisha au kuwaaminisha watu Mzee Lowassa ndie Rais ajaye huku mkinukuu maneno ya Ask Gwajima Leo mmegeuka????

Nakumbuka kipindi kile Jukwaa la Siasa liligeuka kuwa Jukwaa la Siasa-Dini kiaina sababu ya Team Lowassa na Ask Gwajima!!! Mlikuwa mpaka mnawatabiria watu kufa waliokuwa kinyume nanyi.

Nina Imani kubwa wale wapendwa wenzangu TUMEJIFUNZA NA KUMJUA Mungu kwa upya na tumefahamu nini maana ya mapenzi ya Mungu yatimizwe. Toba inahitajika ktk hili ili kumaliza mwaka na Bwana na kuanza mwaka mpya 2016 na Bwana.

Poleni sana. Anyway Hii kweli ni ya kufungia mwaka. Ngoma ilivuma weeeee sasa imepasuka. RIP na poleni wote mlioombewa maombi mabaya. Mkono wa Jehovah ukawatoe ktk mitego na mashimo waliyowachimbia.

Queen Esther

 
Yule wa msoga vipi? Majipu yake si ndio jpm anatumbua.
 
If you can't fight them,join them.
 
LOWASSA AMESEMWA KUWA FISADI, HAJAPATIKANA NA 'JINAI' KWA UFISADI!! HAKUNA MAHAKAMA YEYOTE AMESHITAKIWA. MM SIO SHABIKI WAKE, ILA HAKUNA USHAHIDI KUWA YEYE NI FISADI KAMA UNAVYOAMINISHA WATU
 
ana matatzo huyo jamaa mm cmkubal hata kidg ana kauli chafu sana ambzo haziendani na kivuli anachotumia, naita kivuli coz mamb yake hayana ushawish wa anachokifnya
 
lowassa si mnafiki labda mtu awe hajui tafsiri sahihi ya neno MNAFIKI

Mh! Tunapenda sana kutetea hata pale jambo li wazi. Ebu tupe tafsiri ya MNAFIKI inayomwondoa Lowasa katika hali hiyo ya unafiki. Lowasa ni mnafiki kwa asimilia 100. Alikuwa mmoja wa viongozi wa ngazi za juu nchi hii. Pia aligombea nafasi ya kuliongoza Taifa letu, lakini mara kadhaa, kwenye ulingo wa siasa, alitamka kauri zilizokizana na matamshi yake awali.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
hivi Gwajima hajui Lowasa atakuwa rais muda si mrefu? Lowasa lazima ashinde kesi mahakama ya kimataifa na urais wa magufuli utatenguliwa
Viroba noma sana, yani watanzania wamchague Rais wao halafu mahakama za kimataifa ziingilie maamuzi ya watanzania. ..?Really? Hizo mahakama zianze na Rwanda, Burundi, DRC, Syria, Yemen ect
 
Katika siku ambazo naweza kukuunga mkono basi ni leo. Tangu Magufuli ameingia kiwewe, hujawahi kuappreciate kazi zake. Ila leo umeadmitt kuwa Magufuli kaleta kiwewe kwa mafisadi. Ahsante sana
hata mafisadi wa ccm wanaotumbuliwa mapunye kila siku wana kiwewe sasa wanaisoma wao badala wapinzani wao.
 

Malimao kazini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…