Ni mtendaji mzuri sana tena mjue ni safi akipewa uenyekiti CHADEMA.
Ni mtendaji mzuri sana tena mjue ni safi akipewa uenyekiti CHADEMA.
Inawezekana kuja CDM kwa sharti moja dogo. Atueleze kile ambacho Mwakyembe na wenzake walidai kuwa hawakukisema ili kuepusha serikali yote kuanguka. Sema Lowasa sema, hiyo ndiyo njia pekee ya kujisafisha, vinginevyo fia huko huko kwenye magamba
Mkuu yanatumwa majini, washabiki na wabeba kadi wa vyama vyenu sio mimi. Mi ukizingua hata we nakuchana tu hata bila wese.Mkuu, amekutuma ili kupima upepo au haya ni mawazo yaliyokujia wewe mwenyewe kichqwani mwako?
Nimeshagundua kichwa chako kilivyo!!Mkuu yanatumwa majini, washabiki na wabeba kadi wa vyama vyenu sio mimi. Mi ukizingua hata we nakuchana tu hata bila wese.
Harufu ya uvundo itaitoaje sasa? au nayo itailowekakwenye maji ya uvuguvugu? Au itaipiga pafyumu?Acheni zenu we apply alternatives, wamewezakuwaongoza maelf ya Watz katka maandamano sembuse lowasa!, samaki mkavu wanamloweka katika maji ya uvuguvugu akishalainika tu mnapika akiiva analiwa wamoto hamjui?
shibuda tu kimeo, ndo iwe mamvi? Loh! HatutakiHey!CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!
Hey!
CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,
pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!
Aweke mambo yote wazi kwa ushahidi ili kuwaridhisha wananchi kuwa tuhuma za ufisadi ni za uzushi.
Akithibitika kuwa ni msafi basi atapokelewa.
LOWASA karibu,kwa kipindi kifupi ulichokaa madarakani walau ulionyesha kuwajali watz,ulisimamia shule zikajengwa,mradi wa maji victoria mpaka kahama,mradi wa maji wachina dar bomba zilitandazwa lakini ulivyoondoka mpaka leo bomba zile hazijtumika.eti source ya maji haitoshelezi.barabara kama ya shekilango ilijengwa etc.karibu tuwaletee watz maendeleo!yaliyopita si ndwele!tunajua tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu
Ni mtendaji mzuri sana tena mjue ni safi akipewa uenyekiti CHADEMA.