Hey!
CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,
pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!
Aaah wapi, gamba lenu hilo mtakufa nalo, kesha sema hang'oki na kusema kweli hamna ubavu wa kumng'oa.Ufisadi mufanye wote leo hii mumtenge mwenzenu,HAIKUBALIKI.
Angali mbichi,Lowassa umeshakauka(amekuwa kaukau)
She is likely to pollute the party......!
Pumba hiyo.
Aseme kwani yeye Mwakyembe? Apumzike tu, anatafuta nini aendelee kula pensheni ya upendeleo ya 'kustaafu' uwaziri mkuuInawezekana kuja CDM kwa sharti moja dogo. Atueleze kile ambacho Mwakyembe na wenzake walidai kuwa hawakukisema ili kuepusha serikali yote kuanguka. Sema Lowasa sema, hiyo ndiyo njia pekee ya kujisafisha, vinginevyo fia huko huko kwenye magamba
Angali mbichi,Lowassa umeshakauka(amekuwa kaukau)
Ajisafishe kwanza
swala ni kuliwa au kukunjwa..lolAcheni zenu we apply alternatives, wamewezakuwaongoza maelf ya Watz katka maandamano sembuse lowasa!, samaki mkavu wanamloweka katika maji ya uvuguvugu akishalainika tu mnapika akiiva analiwa wamoto hamjui?
Hey!
CHADEMA ninyi ni wanaharakati na waalimu wazuri nawashauri jambo moja gumu,
pamoja na kuchafuliwa kisiasa babu yetu Lowasa fanyeni mpango mumpe offa ya kadi, atawasaidia sana maana pamoja na mchango wake huko kijiwe cha CCM wamememnyima heshima yake kwaualimu wenu mumfundishe uzalendo na jinsi yakutumikia taifa na kuirejesha heshima yake kisha mumpe wajibu na majukumu. Maana kazi kubwa ya wanaharakati ni kuleta mabadiliko katika mambo mbalimbali. Go ahead CHADEM WAR FRONT, CCM WILL FOLLOW!
Mkuu, amekutuma ili kupima upepo au haya ni mawazo yaliyokujia wewe mwenyewe kichqwani mwako?Hey!