Lowassa chunga Sana, kasi ya Magufuli inakupoteza kwa kasi ya ajabu

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Ni ukweli usio Shaka kwamba, kasi ya utendaji wa Rais Magufuli unampoteza kabisa Mheshimiwa Lowassa katika medani za siasa nchini.

Wasema Kweli naamini mtaungana na Kauli hii.
Karibuni msio kubaliana na maelezo Haya, kuyapinga kwa hoja, si matusi
 
hivi unaamini kabisa kuwa mamvi ni upinzani?? ushawahi kuona wapi upinzani wa nchi flani unaunga mkono chama tawala cha nchi nyingine??? unafahamu kuwa lowasa ndiye aliyelazimisha chadema wamwunge mkono uhuru na chama chake tawala, maana yake ni nini?? kama upinzani wa tz unaunga mkono chama dola kenya maanake tz hakuna upinzani! jiongeze manyumbu, katibu mkuu wenu ni strategist no.1 kuwamaliza
 
hivi unaamini kabisa kuwa mamvi ni upinzani?? ushawahi kuona wapi upinzani wa nchi flani unaunga mkono chama tawala cha nchi nyingine???unafahamu kuwa lowasa ndiye aliyelazimisha chadema wamwunge mkono uhuru na chama chake tawala, maana yake ni nini?? kama upinzani wa tz unaunga mkono chama dola kenya maanake tz hakuna upinzani! jiongeze manyumbu, katibu mkuu wenu ni strategist no.1 kuwamaliza

Mkuu ,tunaomba ushahidi wa hilo tafadhali...
 
Back
Top Bottom