mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
- Thread starter
-
- #21
Mkuu mie naona hapo ndiyo mwisho wa EL. .... Hapa sasa hata achacharike vipi....habari yake imeisha na waliommaliza ni wana ccm wenzakeyeah lakini wamemuharibia sana EL sababu ndoto zake ilikuwa siku moja kuja kuongoza nchi hii. Tangu zamani hata wakati ule baba wa taifa bado hai alionyesha utashi huo, nafikiri safari yake imeishia hapa rasmi, unless afanye Move kali ambayo itashangaza nchi sababu ana wafuasi wengi sana nyumba yake.
Jamani ukweli ni kwamba uhai au kifo cha CCM kipo mikononi mwa Lowassa na Rostam Azizi. Hawa wana siri nyingi sana kwani ni vema ujue ufisadi hawakufanya peke yao bali kwa ushirikiano na vigogo wengi wa chama na serikali. CCM labda haijafanya utafiti ijue uamuzi wanaotaka kuufanya unaweza kumkuta Rais wa nchi haswa pale watuhumia watakapoamua kujitetea kama mtu binafsi na si kama wanachama wa CCM.
Lazima watakapokuwa wanakata roho za kisiasa wataongea maneno ya mwisho na kupaza sauti kabla ya pumzi ya mwisho na hapo ndo JK atarudi zero katika kusafisha chama. Na huuu mchakato utakigharimu tena chama mwaka 2015. Hekima inatakiwa itawale hapa wasichukulie kuwafukuza EL, RA na Chenge itakuwa rahisi kama kurusha karatasi kwenye dustbin halafu inatulia humo mpaka ichomwe. Hawa hata wakifukuzwa lazima wapambane.
Pia JK hajui hata kwanini yeye amekuwa Rais....na hajui maana halisi ya urais na hajui kama kuna nchi inaitwa TanzaniaJK anasema yeye hawajui, tena siye aliyewataja na hajui kwanini wametajwa hao tu, na yeye hajui kama alishawahi kushirikiana nao, na hajui kama kuna madhara kuwafukuza 3stars wa ufisadi katika CC, pia hajui kama CCM itapata madhara kama El,RA na Chenge wakifukuzwa kama wataleta shida kwani anachojua Wezi wanakula amini ya kutotajana hadi kifo kiwatenganishe. Nao hao ni Majambazi sugu siyo rahisi kutajana wala kubomoa chama.
Nimeonewa sana....nimesemwa sana.......hii yote ni sababu ya uwaziri mkuu....(sijui km atathubutu kusema upuuzi km huu kwa mara hii)
Hao Jamaa watatu tu Wakiamua kuimaliza CCM wanaweza, wana wafuasi na wameweka mizizi ya ajabu. CCM wawaombe msamaha kwa kuwaita MAFISADI bila ushahidi wa kisheria.
Pili CCM Ihakikishe inayalinda maslahi yao na familia zao, wasisumbuliwe na mtu yoyote, vinginevyo wakiamua kuimaliza CCM WANAWEZA tena less than 7 days. NAPE hawezi ubavu wa EL, RA NA CHENGE. Bado bwa mdogo sana.
Jamani! si ni sisi wanaJF tuliokuwa tunasema hawa jamaa 3 wamekubuhu kwa ufisadi na ikawa tunapendekeza watimuliwe kwenye siasa na kufilisiwa kabisa? iweje leo tunalalamika tena eti kwanini wameondolewa ccm? tuache unafiki jamaniKwa kitendo hiki cha kuwatosa EL,RA na AC,nawaambia wana-JF subirini bomu litakolofumuka ccm,bado busara haikutumika kuwatoa hawa jamaa,ni visa na chuki vilitawala kuwatosa,sasa subirini!!
Nadhani wewe ndiye Bwana Mdogo kabisa kuliko huyo Nape zinapokuja Siasa za Bongo. Hivi wewe unadhani Nape ndiye aliyeleta haya Majivua Gamba? Rudi Maktaba kachimbue zaidi ndipo utarudi tena na kutuambia Udogo wa Nape na Ukubwa akina RA, EL et al............. NAPE hawezi ubavu wa EL, RA NA CHENGE. Bado bwa mdogo sana.
Kwa kitendo hiki cha kuwatosa EL,RA na AC,nawaambia wana-JF subirini bomu litakolofumuka ccm,bado busara haikutumika kuwatoa hawa jamaa,ni visa na chuki vilitawala kuwatosa,sasa subirini!!
Point....well said mkuu i like ur soundYaani unataka kutuambia evidence zote hizi zilizokuwa zinatolewa humu na watu maelfu kuchangia bado hawa watu walionewa na watu wote hawa? Ask yourself kama wanachukiwa na almost 90% ya wachangiaji humu ambao by definition ndiyo wenye elimu ya kati na juu hapa nchini kwani bila kuwa hivyo access to internet would be an impossible cost to them kutokana na mode of the employment wether formal or informal then hiyo chuki unaiona ni bure? It has to do with some kind of touching these peoples livelihoods. Jaribu kuwa analytical na kuepuka hisia zisizonafaida ambazo ni very subjective. Watu wametoa data humu zimejadiliwa for almost four years then unawezaje tuambia kuwa hawa watu wameondolewa kwa chuki; yes ni chuki kweli lakini chuki yenye substance siyo ya umbea!