Lowassa: CCM isijidanganye

CCM kama ni kung'oka madarakani, ingeng'oka katika uchaguzi wa mwaka 1995 wakati wa LYATONGA MREMA na NCCR-Mageuzi. Na pia ingeng'oka 2015 wakati ambapo karibia wakurugenzi wote wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, walikuwa ni zao la LOWASSA. Lakini kwa sasa wakurugenzi wengi tayari wameshaondolewa kwenye nafasi zao. Hivyo, LOWASSA amuulize mwenziye MREMA na pia kwake kilichobaki ni kutegemea UTABIRI wa JOSHUA. Suala yeye kuwa Rais imebaki kuwa ndoto
 
Badala ya kujibu hoja unaanza kejeli.... shame on you ccm afu bado unajiita great thinker?? Ur kids should regret why they had a dad like you
Haha haha my kids?You just dont know how they proud of having a hero .
 
Haha haha my kids?You just dont know how they proud of having a hero .
kipindi watoto wako watakapo shika simu yako na kuona hiki ndo unachopost mitandaoni hakika watakubaliana na mimi kuwa ......''Light travels faster than sound,no wonder some people appear bright till u hear them speak''
 
Mpeni pumzi mzee wa watu jamani,aliyopitia ni mazito!! Maxima ajifariji kama hivyo.
 
Lowassa kiboko cha ccm hawatakuja kumsahau kwa jinsi alivyowatesa mwaka jana
Mhuu ila na yeye sidhani kama atakuja kuwasahau jinsi walivyomkwanyua mwaka jana kwenye michakato yao ya ndani!!
 
Lowassa awe Rais? Nchi gani hiyo? Mwaka Jana alinufaika na mgawanyiko ndani ya CCM lakini 2020 asahau kabisa. Ni bora wamshauri asigombee kabisa maana hatoamini kura kiduchu atakazopata!!
Unajiuliza unashangaa kwani asingeibiwa kura kimabavu nani angekuwa rais kama sio yeye na kama asingetumia busara aliyonayo hujui ambacho kingetokea kwani hujui JK hakujua chama kinamfia mpaka akaamua kutumia nguvu za ziada husasani nakule zenji, tatizo lenu hamwasikilizagi viongozi wa nchi wakiongea mnakazi ya kusoma vichwa vya habari vya magazeti mnabaki kufafanua kwa majibu feki
 
Acha Stori za kwenye Vijiwe vya Kahawa wewe lofa. Dunia nzima inajua Lowassa alishindwa kwenye Uchaguzi Mkuu na haitatokea aibuke tena!
 
unafahamu mambo waliyomfanyia Salim na mtandao wake lakini mbona Salim hakuondoka wala kujibishana na mtu hapo ndio utaona tofauti zao
 
Kula kitu kina mwanzo na mwisho......tusijidanganye kuwa CCM itadumu daima katika uhai wa Tanzania, binafsi naamini IPO siku watashindwa uchaguzi na ndio itakuwa mwisho wa hicho chama.

Mkuu uko sahihi. Lakini ukipata maono kuwa siku hiyo itakuwa mwaka 2090, utasikia raha ndani ya roho?
 
Umeona...watu yaani hawajajielewa ..upinzani uliopo sasaivi umesha sambalatika...kama umoja ninguvu ...wapi nguvu yakuitoa ccm kwa sasa??
 
unafahamu mambo waliyomfanyia Salim na mtandao wake lakini mbona Salim hakuondoka wala kujibishana na mtu hapo ndio utaona tofauti zao
Kwa salim ililuwa complicated kwa ile kesi yake kma angehamia CUF wangeamini labda kweli alihusika kumuua karume ndio maana labda alisita kuhama...... vilevile salim yupo ccm kiushahidi tu ila kifikra alishaifuta ccm muda mrefu tu no wonder alitetea sana maalim apewe urais wake na alikataa uchaguzi wa marudio vitu ambavyo vilikuwa ni misimamo tofauti kabiss na chama ssa huyo utamuita ccm bado?? Au yupo kimwili tu ila kifikra ameshahamia upande wa pili??
 
hayo ni maneno yako mtu yupo hadi kamati kuu ya ccm unasema yupo kiushahidi tuhuma za kumuua Karume zilitengenezwa na wakina Lowasa na mtandao wao ndio maana sasa Lowasa analipa matendo maovu kwani kwa tamaa zao na ubinafsi wao walitukosesha mtu ambaye angekuwa rais bora kuwahi kutokea baada ya Nyerere ila Lowasa ndio yuko chadema kiushahidi
 
Haya katafute maoni yake kuhsu muundo wa serikali 2,pia uchaguzi wa marudio,kuhusu maalim n.k kote huko hakubaliani na lichama lenu kma mwandosya sema ndo hivo wanaogopa kuhama vyama tu ila lowassa ndo alivunja uoga huo kwa kujitoa huko kwenye fitna za kisiasa.

Dah umeonyesha waziwazi chuki zako kwa lowassa yaani ilikuwa lazima umtaje lowassa na umuache kikwete??? Kwani mgombea alikuwa lowassa au kikwete?? As if kampeni za lowassa 2015 zilikuwa na fitna akiwa upinzani....mie sikuwahi skia ata akimtukana kikwete wala magufuli kwenye kampeni hta nyie mlizushia kifo sijui mgonjwa sikuona akiwatusi au kufoka leo hii unafanya kila nia ionekane salim ndio alimalizwa na lowassa na sio kikwete na mtandao wake zanzibar..... yaani kila failure ya ccm ni lowassa??? Ur so biased sijui alikukosea nni lowassa hadi uwe na chuki naye kiasi hiki....duh maana nashangaa unaamini kuwa salim kazushiwa ila lowassa hakuundiwa zengwe??? Yaani unaona kikwete ni wa kuaminika kabisa??
 
nyinyi na mtandao wenu mlikuwa na matumaini makubwa na lowasa lakini walioitakitakia mema nchi hii waliamua kumfutilia mbali, naona bado unaishi ndoto za mchana hiyo ndio imetoka labda umfate akakupe kazi ya kumchungia Ng'ombe
 
Angefanya nini kwa mfano...muulize raila kilichomkuta..
 
nyinyi na mtandao wenu mlikuwa na matumaini makubwa na lowasa lakini walioitakitakia mema nchi hii waliamua kumfutilia mbali, naona bado unaishi ndoto za mchana hiyo ndio imetoka labda umfate akakupe kazi ya kumchungia Ng'ombe
Sasa huyo huyo dk salim alikiri kuwa mlipora uchaguzi wa bara na visiwani tafuta mahojiano yake na DW ndo urudi hapa kujitia moyo kuwa lowassa alikataliwa na wananchi..... nyie mtakalia kuwa na chuki wakati mtu alipata kura 8+ million.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…