Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini


ingelikuwa misaada anayowapita lowassa ndo yenye power kumfanya awe rais angekuwa tokea 2005. mwache azomewe tutajuwa july kama ukoo wa lowassa utamsaidia kuwa rais JMT
 
ingelikuwa misaada anayowapita lowassa ndo yenye power kumfanya awe rais angekuwa tokea 2005. mwache azomewe tutajuwa july kama ukoo wa lowassa utamsaidia kuwa rais JMT

Jiandae kwenda milembe July 12

ENL2015 GUARANTEE
 
Hilo jamaa lilopost lenyewe ndio linaongea ---- ---- huenda ni jinga
 
Burton86jm

NI KWELI NIMESIKIA ANAAMBIWA AENDE, UKU WENGINE WAKIMZOMEA, DUH KAMA ANAZOMEWA NA MIELA YOTE ALOMWAGA, JE ANGEKUWA KAMWAGA ZA KAWAIDA LEO ANGEPIGWA MAWE KABISA UYU CHORo
 
Last edited by a moderator:
EBU JIFUNZENI KUDADAVUA MAMBO, WATU HAO WANAJITOKEZA KILA SIKU WANAPOENDA WAGOMBEA WA CCM, EBU MSITAKE KUYAKUZA MAMBO WAKATI HAMNA KITU CHA MAANA, WA AJABU AJABU SANA NYIe

Imekugusa kwenye ugoko kong'ooooo


LOWASSA habari nyingine hyo inaonyesha jinsi gani anakubalika mbona wengine hawapokelewi na umati mkubwa

Oyoooo soma alama za nyakati that is Edward Lowassa the presidaaaa
 
Imekugusa kwenye ugoko kong'ooooo


LOWASSA habari nyingine hyo inaonyesha jinsi gani anakubalika mbona wengine hawapokelewi na umati mkubwa

Oyoooo soma alama za nyakati that is Edward Lowassa the presidaaaa

UYO FISADI NI MAARUFU NDANI YA CCM UKO UFISADINI, SISI UKAWA TUNAMCHUKULIA KAMA KUKU WA SIKUKUU AMBAPO UPEWA MAJI, KURUSHIWA MAHINDI ILI AJIONE KUWA ANAPENDWA SANA, IKIFIKA SIKU RASMI NDO MTAELEWA UKAWA NI LIDUBWANA LENYE ROHO MBAYA SANA HASA KWA MIJIZI PIA MIFISADI KAMA UYU RAFIKI YAKE CHENGE MAKENGEZa
 

Mwe??? Kumbe ukawa ni mabandidu? Watake radhi wenzako aisee

LOWASSA the President
 
Lowassa mtu wa ajabu kweli, kila anapoenda kabla hajaondoka anauambia umati wake kuwa haujawahi kutokea kuwa na watu wengi vile. Hii inamaanisha kila anapoenda umati unaongezeka kitu ambacho si kweli.
 
 
Huyu fisadi ana roho ngumu sana.Juzi kaiba leo ananunua watu kwa pesa alizowaibia.El noma sana
 

huyo ndiye kibaka Makongoro aliyemtaja.Lowasa ameanza kuiba kabla hajazaliwa
 
Ukipenda chongo utaita Kengeza. Sauti moja inamzomea iko kubwa lakini ziko nyingi nyingi tu kwa mbali. Hata cch oyee, haina majibu. Bado watu mnasema hali ni shwari. Na hapa ni ndani ya ccm, !..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…