Lowassa azomewa mkoa wa Katavi katika udhamini

Jambazi hilo msilichekee hata kidogo
 

Chaggadema ndio aina ya Watu wliopo Kama haumtaki mtu si ulale nyumbani kwako siku ya uchaguzi unatosa inatosha
 
Burton86jm

Hapa ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia au.?
 
Last edited by a moderator:
Mwizi huyo Wangepiga na kuchoma moto jiz kuu hilo


naunga mkono hoja,LOWASA anayeongoza kwa kashifa mbaya nchi nzima kuungwa mkono na watu kamiki haiwezekani.
1, lowasa aliyesemekana kuanda mpago wa kumpa sumu mwakyembe,
2, lowasa ailiyesemekana kuanda mpago wa kumpa sumu mwandosya kuondoa list ya urais ya nyerere
3, lowasa ailyeanda mpago wa kumuvua wenyekiti wa chama kikwete ili akose nguvu ya kuongoza chama wakati anajua huo ndo mfumo ambao umekifanya chama kuwepo 50yrz
4, richmond

hayo yote mabaya wanamtuhumu yeye tu then watu wanasema chaguo la mungu labda la shetani.
 
Hahahaaaaa!!mbona ni ww ulochukua video na watu wako wa3???wale wengine wanashangiliaa???bado haijaka poa wangekua hawamtaki wasingeenda!!jaman tuache uwongoo hautufikishi kokote zaidi unaumbuka kama hapo ww mwenye umeona uko peke yako umenyamazaaa.....saut ya mungu sauti ya watu....viva lowasa vivaaaaaaaaa
 
Nadhani jana mmeona mafuriko, Pinda mwenyewe asha salimu amri, LOWASSA mbele kwa mbele
 
mbona ni ww tu unasema aenda wa watu wawili iv!!!!
 
Hahahahahahhah...mwaka huu utapata raha sana ukiwa na mgombea The Great kama Lowassa...wapinzani wake wanajiuliza maswali halafu wanajipa majibu...KATAVI Lowassa kapata wadhamini 4000..sasa aliezomea labda ni wewe na familia yako ndugu...samahani sisi waleeeeee HII NDIYO SAFARI YA MATUMAINI...ENL2015
 
 
lowasa hana kipaji cha uongozi ila anakipaji cha uongo.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu.
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Watanzania wanamhitaji Lowassa, Lowassa anabebwa na sifa zake za kiutendaji sasa nyinyi mnaoleta maneno ya fitna mtabaki ivyoivyo
 
Hivi likijitokeza taahira moja likanya pale mbele ya ikulu mtamshutumu rais? Tuwe na uwezo wa kufikiria nje ya box

Lowasa hakutukanwa na umma Bali ni vichaa wawilo ama watatu hivi ndo waliropoka
 
Acha azomewe naye kazidi,hiyo ni dharau hadi kwa mwenyenyumba,Je?mtu akienda munduli yeye atafurahi
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…