#SIJAWAHI ONA MTU MPUUZI KAMA HUYU ALIYEPOST HII VIDEO YAANI YEYE NDIYE ANAYEICHUKUA HIYO VIDEO NA NI YEYE NDIYE ANAYEISEMEA KWA NYUMA / hatumtaki aende!!!/ what's types of shits
Mbona ni wahuni wachache tu wanaozomea?huu mtindo wa wahuni kufanya fujo kwenye ni wa kudhauriwa na kupingwa na kila mtu.
Japo simuungi mkono Lowassa lakini siwezi kuunga mkono zaidi kufanyiwa fujo kwenye mikutano yake wala ya mwanasiasa mwingine yeyote.Ni kiwango kikubwa cha ukosefu wa ukomavu wa kisiasa na ukosefu wa ustaarabu wa kawaida.Shame!
Hahahahaha siasa majitaka...bora usinge weka video,unge andika tu,tunge kuunga mkono,ila hiyo video inaonesha chuki mmh,Haya mpelekee boss wako umuoneshe ulivyo toa support yako ya nguvu,upate hela ya kula...bwahahahahah noti raiti..