Lowassa azizima Mwanza

Lowassa azizima Mwanza

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
Huyu mgombea kila anapooneka ni hatarii, leo tena wakati anatoka gold crest hotel Mwanza kuelekea karagwe kwenye mkutano, hoteli ilikuwa imezungukwa na umati wa watu wengine wakiwa barabarani.

Kwa sasa ndio anasepa kuelekea airpot kupanda chopa kuelekea Karagwe kufanya mkutano kayanga mida ya saa 6.30 mchana.
 
Lazima Bulembo aweweseke,nguvu ya UKAWA ni Tsunami.
 
Huko karagwe itakuwa na zaidi ya tsunami,magufuli atakiwi kule watu wamechoshwa na manyanyaso ya ccm
 
pesa!!!!watu wana njaaaaa!!!ila kumbukeni dr ndo rais wa awamu ya 5!!!!!fanyeni research c jf tu!!

labda unielekeze ni wapi tena nikafanye hiyo research
 

Attachments

  • 1442561303809.jpg
    1442561303809.jpg
    52.8 KB · Views: 250
  • 1442561327076.jpg
    1442561327076.jpg
    74.6 KB · Views: 215
  • 1442561375428.jpg
    1442561375428.jpg
    23.7 KB · Views: 200
  • 1442561397646.jpg
    1442561397646.jpg
    43.7 KB · Views: 207
jana nimekaa na wazee wa ccm nao pia wameichoka wanasema magufuli hawezi kupambana na mfumo uliompeleka madarakani hawezi kuwashitaki wezi na mafisadi kama kikwete
 
huyu mgombea kila anapooneka ni hatarii..leo tena wakati anatoka gold crest hotel Mwanza kuelekea karagwe kwenye mkutano ..hoteli ilikuwa imezungukwa na umati wa watu wengine wakiwa barabarani...kwa sasa ndio anasepa kuelekea airpot kupanda chopa kuelekea karagwe kufanya mkutano kayanga mida ya saa 6.30 mchana

walidhani anagawa pesa ujue yule ni fisadi mgawa pesa.
 
jana nimekaa na wazee wa ccm nao pia wameichoka wanasema magufuli hawezi kupambana na mfumo uliompeleka madarakani hawezi kuwashitaki wezi na mafisadi kama kikwete

magufuli hajawekwa na mtu kwenye uongozi ila fisadi lowasa ndiyo kafikishwa hapo na mafisadi.
 
M 4 C maana yake halisi ni ya magufuli au tuliyoizoea ya kutukomboa karibu miaka sita nyuma?
 
Mchambuzi mi mwenyewe nilikuwa napita ila nyomi ikanivutia kusogea mkonga ya ccm inazomewa mara Lowasa huyo kidogo tena Sumaye mmmh. Aapishwe tu bila kura kupigwa kama inawezekana!
 
Back
Top Bottom