Lowassa Azidi kusonga mbele!

is bitten,by taking wrong truck,has bad wish to our nation focing 2be forgiven and cleansed by using RED,DIRTY ,CORRUPTED MONEY,at least if he could help widows,clippled,oldest people and those unable 4 its there stolen taxes,insteed of helping churches especialy kkkt,he is creating reliogious segregation.
 
Huna facts! Je JK kuwapa waislam wizara zote muhimu ktk nchi nalo unalionaje?
 
Cha mlevi huliwa na mgema,waache watu wa makanisa angalau wale hela ya jasho lao,mialiko haitaisha mpaka hela yetu iishe ,nawapa pole wenzangu waislamu hiyo hela ya bure mbona hawaichangamukii,jamani waislamu tumieni fursa ya hizo harambee kama wakristo wanavyoiutumia msiogope hiyo ni hela yetu sote,jamaa kaishika tu.Hata mie naanzisha kakanisa kangu halafu nitamualika mjiuzuru kwenye harambee heh hehehhhhhhh
 

fanya uchunguzi hiyo fedha anachukuwa kwa akina jittu patel na wahindi wengine wanaoamini kuwa jamaa atakuwa rais 2015,tatizo watanzania wengi hawafahamu hizi harambe zinavyoendeshwa mgeni rasmi anaingia akijua fika kwamba jittu atachangia ngapi,manji ngapi na rostamu ngapi ndiyo unafikia lengo na makanisa yanafahamu watamwalika sana na yatajengwa,jamaa kuna harambe moja miaka sita iliyopita aliingia ukumbina hakukuwa na watu alichofanya aliomba chumba katika nusu saa baada ya kuwapigia wahindi kumi tu akatangaza harambe imevuka lengo kwa kukusanya milioni mia tatu
 

Atakosaje kuwa na roho ngumu na yeye jambazi!!
 
Kwa kuwa wewe ni idiot sina haja ya kukuelezea zaidi!
 

Kweli umenena mkuu! Kwa sifa na utukufu alionao Mwenyezi Mungu, kwa heshima tunaandika 'Mungu', siyo mungu; au Mola siyo mola.
 
Kwani bila lowassa, hakuna mwngine anayeweza kuwa rais? every time lowassa, lowassa, lowassa,...... bull shit! Ihate it!
 
Watu wameamka wanamwangilia na kumshangilia ili watekeleze mahitaji yao ila kwenye sanduku la Kura amini lazima apigwe chini
 

weka wazi yeye kama yeye katoa kiasi gani..?kwani vyanzo vingine vinaonyesha kuna Wafanyabiashara Wawili wametoa zaidi yake kufikisha jumla ya makusanyo Taslim.Kuitwa kwake kufanikisha zoezi kunaonyesha Wazi kwamba WIZI/MAFISADI ni wengi ikiwapo waliomsindikiza,japo KIDINI sadaka yeyote haikataliwi,uue,uibe sawa.
 
Kwa kuwa wewe ni idiot sina haja ya kukuelezea zaidi!
Naona mkuu uko nao bize, ng'adu kwa ng'adu, wakibandika wewe umebandua ! Vp kandarasi yako inaisha 2015 ? ................daaah ! Wamekuambia hamna kutoka JF ! Ukienda chooni unampa mtu akushikiie !
 
huyu jamaa mwenye nywele nyeupe ni wa kumpiga risasi kwa stile ya gaddafi hapana haja ya kupelekwa mahakamani hata the hague
 
hiyo cyo roho ngumu. ni roho mbaya.
 
IDIOT wewe mimi..?au hujui maana ya Great Thinker..?Nawekuwa Idiot kwako lakini sio kwawote.Ila wewe ni DULL
Naona mkuu uko nao bize, ng'adu kwa ng'adu, wakibandika wewe umebandua ! Vp kandarasi yako inaisha 2015 ? ................daaah ! Wamekuambia hamna kutoka JF ! Ukienda chooni unampa mtu akushikiie !
 
Kama kaulimbiu yao isemavyo "amejaribu kanisani, ameweza, na anazidi kusonga mbele" kazi kwenu waumini kumpa kura za uasikofu 2015, kila la kheri EL
 

Labda anamaanisha kusonga mbele kukielekea kifo maana afya yake inao mgogoro mkubwa sana kuliko ule wa pallestina na Israel kama unabisha ukisikia harambee nyingine mtafute then peana nae mkono ndio utajua kumbe dawa ya moto ni maji wala sio moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…