Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!

Mimi naona anajijenga kidini si kisiasa!!kwani 2015 kanisa ndiyo litatoa rais??huu upendo wa ghafla kwenye makanisa umetoka wapi??kama ameokoka kwanini asitangaze rasmi??ni wokovu gani huu wa kutoa pesa tu??akae akijua kuwa atacheza na makanisa lakini kamwe hawezi kucheza na mungu dhamira yake itakuwa wazi mbele za mungu.
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga kisiasa zaid na zaid na kuimarisha mbio zake za Ikulu 2015, Jana kaongoza harambee iliyoipatia Kanisa sh. 204 milions zaidi ya 114 milion iliyokadiliwa awali. KWELI HUYU BABA ANAROHO NGUMU!
Nasikia jana kafanya mambo kkT
watanzania hatumuhitaj lakin usalama wa taifa wanamuhitaj na wana nafas kubwa kumuingiza madarakanNaona cku izi yeye na makanisa makanisa na yeye; labda makanisa ndo yatakayompa uraisi - lakini watanzania sidhani kama wanamuhitaji
watanzania hatumuhitaj lakin usalama wa taifa wanamuhitaj na wana nafas kubwa kumuingiza madarakan
wewe labda ndio unamsongesha mbele,umeona anavyomtesa mpiga kura mwenzetu za urais 2015 dk harrison mwakyembe?
Lowassa, ndiyo chaguo la Watanzania.