Ccm tunajidhalilisha sana. Kwa ni ni ndugu zangu mnashindwa kuelewa hata maswala yaliyo dhahiri?
Kuboresha maslahi hakuna maana ya kufuga uharifu.
Kushughulikia waharifu hakuzuii kuboresha maslahi.
Huo ndio utawala bora na utawala wa sheria.
Hatua za kisheria dhidi ya wahalifu, hazikinzani hata kidogo ya uboreshaji wa mazingira.
Unaposhughulikia wahalifu katika jamii, haina maana kwamba jamii yote uiingize kwenye hatia na adhabu.
Hao wahalifu wanaoshughulikiwa, ni binadamu pia ambao wanastahili kuboreshewa maisha yao na familia zao, lakini pia wanapaswa kuwajibika kwa makosa yao. Nani aliyesema hukumu ya mharifu ni kutokumpa haki yake?
Hii ni mentality iliyojengwa na jeshi la polisi chini ya ccm. Kwamba polisi anaweza kumpiga mtu na kumtesa mtuhumiwa hata kumdhalilisha. Serikali ya ccm inaweza wafungwa katika magereza mabovu yenyy hali hatarishi kwa maisha yao wakati mahakama haikuwahukumu kuishi maisha hatarishi.
Na hapa ndipo mwanzo wa kuona tofauti ya wenzetu UKAWA na sisi ccm. Tujaribu kujifunza kwa UKaWA. Tunapokurupuka na kuropoka ropoka tunawapa scores na sisi tunazidi kushuka chini kwamba hakuna tunalolielewa.