Lowassa awageuka tena Polisi

Lowassa awageuka tena Polisi

Umslopagazi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
1,737
Reaction score
935
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya Polisi. Leo Jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita ICC kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda.

Hivi huwa anapoteza kumbukumbu au?
 
wakati wa mwanzo walikuwa wako sawa, ila kulingana na joto linavyopanda nao naona wanabadirika na kuzidi kuegemea upande mmoja.
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Wewe ni mbumbumbu! Ndiyo sababu elimu inahitajika!
 
Na kasema leo katika mkutano wake kua mwananchi atakaetaka kwenda mombasa atakwenda hapo mi sikuelewa kamaanisha nini maana mi ni mmoja wapo nilikuepo naombeni kufafanuliwa kauli hii kua atakaetaka kwenda mombasa itakua rahisi atakwenda je amemaanisha nini
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

kwani nyie haujui mzee ana bipolar dysfunction
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Wewe jamaa ni poyoyo sana
 
Lowassa hajawahi kuwa penda polisi.

Uliza wale walio wahi kumlinda nyumbani kwake.

Mama lowassa mwenyewe nishahidi
 
Ccm tunajidhalilisha sana. Kwa ni ni ndugu zangu mnashindwa kuelewa hata maswala yaliyo dhahiri?

Kuboresha maslahi hakuna maana ya kufuga uharifu.

Kushughulikia waharifu hakuzuii kuboresha maslahi.

Huo ndio utawala bora na utawala wa sheria.

Hatua za kisheria dhidi ya wahalifu, hazikinzani hata kidogo ya uboreshaji wa mazingira.

Unaposhughulikia wahalifu katika jamii, haina maana kwamba jamii yote uiingize kwenye hatia na adhabu.

Hao wahalifu wanaoshughulikiwa, ni binadamu pia ambao wanastahili kuboreshewa maisha yao na familia zao, lakini pia wanapaswa kuwajibika kwa makosa yao. Nani aliyesema hukumu ya mharifu ni kutokumpa haki yake?

Hii ni mentality iliyojengwa na jeshi la polisi chini ya ccm. Kwamba polisi anaweza kumpiga mtu na kumtesa mtuhumiwa hata kumdhalilisha. Serikali ya ccm inaweza wafungwa katika magereza mabovu yenyy hali hatarishi kwa maisha yao wakati mahakama haikuwahukumu kuishi maisha hatarishi.

Na hapa ndipo mwanzo wa kuona tofauti ya wenzetu UKAWA na sisi ccm. Tujaribu kujifunza kwa UKaWA. Tunapokurupuka na kuropoka ropoka tunawapa scores na sisi tunazidi kushuka chini kwamba hakuna tunalolielewa.
 
Watakaopandishwa THE HAGUE ni wale ambao wanaacha kazi yao ya upolisi na kugeuka makada wa CCM.
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Huyu Lowasa haaminiki kabisa yupo kama kinyonga aisee!
 
Na kasema leo katika mkutano wake kua mwananchi atakaetaka kwenda mombasa atakwenda hapo mi sikuelewa kamaanisha nini maana mi ni mmoja wapo nilikuepo naombeni kufafanuliwa kauli hii kua atakaetaka kwenda mombasa itakua rahisi atakwenda je amemaanisha nini

anamaanisha atakaetaka kuwa shoga,ruxa...
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

ulitaka asemeje wewe gamba? Ole wao!
 
Akiwa kwenye mikutano yake ya kampeni ya awali alisema ataboresha maslahi ya polisi. Leo jijini Tanga amesema atawapeleka mahakama ya uhalifu wa kivita icc kwa madai ya kuwanyanyasa bodaboda! Hivi huwa anapoteza kumbukumbu or?

Mfano mdogo tu;
Bosi wako akikuambia mwezi ujao atayaweka sawa maslahi yako anakua na maana ukifanya kosa la kufukuzwa kazi kabla hata ya muda wa ile ahadi haujafika asikufuke kwa kuwa alikuhaidi atakuwekea vizuri maslahi yako?
Kuambiwa utaboreshewa maslahi yako kazini haikupi kibari weww kuenenda kinyume na sheria na taratibu
 
Kwahiyo ni sawa walivyonyang'anya hao vijana bodaboda zao? Punguza uchochezi kwenye kosa laZima akemee

Kunyang'anywa maana yake nini? Hebu nyie wenye mihemko muwe mnajua basi hata kanuni na sheria za usalama barabarani! Dah!
 
Back
Top Bottom