Lowassa aumbuka

Lowassa aumbuka

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00485.jpg
 
Mtatumia sana media na hazitawasaidia. Isue sio Lowassa, ni mabadiliko na hayaepukiki!
 
Hahahahaha siasa bana hivi kati ya ccm na chadema nani anacheza ngoma ya mwenzake . Tumeona neno mabadiliko, M4c yalivyokopwa toka chadema
 
Lowasa anamambo ya kihuni sana lakini mwaka huu atapata aibu sana maana mpaka sasa anatia aibu kila kukicha anadhani pesa zake za ufisadi zingempatia urais.
 
Mtatumia sana media na hazitawasaidia. Isue sio Lowassa, ni mabadiliko na hayaepukiki!

Ishu ni ufisadi lowasa akaongoze mafisadi wenzake siyo Taifa.
 
Mtatumia sana media na hazitawasaidia. Isue sio Lowassa, ni mabadiliko na hayaepukiki!
Wewe hujitambui. Issue sio Lowasa? Kwa hiyo mabadiliko yatasimamiwa na nani? Usiwe kama mjinga! Gari bila dereva lnaweza kwenda lenyewe sio, ndio unamaanisha.! Na kama haliwezi jiendesha huyu mtu unayetaka kumkabidhi nchi ana maadili gani? Ana uaminifu gani? Hivi ukimtazama machoni utaona sura ya uaminifu kweli? ? Au ufisadi mtupu. Tena afadhali angekuwa mwenyewe kidoogo ungeweza sema potelea mbali, lakini hilo group lake huko nyuma ungelifahamu usingesema. Mnataka kuuza hii nchi? ? Acheni ujinga!
 
Hili nalo ni gazeti? Wasio timamu ndiyo watanunua gazeti la aina hii
 
Eti kupigwa wana habari kulaniwe kwa nguvu. Sasa mtu kama hajui maadili ya kazi yake hakuna jingine zaidi ya kuchezea kichapo. Ni kichapo tuu maana hakuna namna nyingine
 
Lowasa kwa ufisadi aliofanya anatakiwa kuwa gerezani tu hakuna njia ya nyingine mtu aliyeibia watanzania kwa kiasi kikubwa vile.
 
Lowasa anamambo ya kihuni sana lakini mwaka huu atapata aibu sana maana mpaka sasa anatia aibu kila kukicha anadhani pesa zake za ufisadi zingempatia urais.

Lowasa c mtu wa maneno ni mwanamikakati sugu, yeye tayari ni rais iyo tar 25 tunaenda kuzuga tu.
 
Lowasa kwa ufisadi aliofanya anatakiwa kuwa gerezani tu hakuna njia ya nyingine mtu aliyeibia watanzania kwa kiasi kikubwa vile.

Na hii ndo sababu kubwa ya ccm kuondoka madarakani, tumewapa dhamana ya kuongoza taifa, lakini mmeshndwa mnaacha majizi yanagombea urais na ubunge badala ya kuyapeleka segerea.
 
Lowasa kwa ufisadi aliofanya anatakiwa kuwa gerezani tu hakuna njia ya nyingine mtu aliyeibia watanzania kwa kiasi kikubwa vile.

ndio apelekwe sasa huko gerezani, sasa hapo ndio munatushangaza
 
Lowasa kwa ufisadi aliofanya anatakiwa kuwa gerezani tu hakuna njia ya nyingine mtu aliyeibia watanzania kwa kiasi kikubwa vile.

We gamba kikwete alimruhusu lisu amtaje mhusika lissu kasema richmond ya kikwete .. hiyo ri ni ridhiwani.ch m ni mwanaishA unataka nini sasa
 
Baadhi ya watanz wamepeleka akili zao na ufahamu likizo. Wanajitia ujinga ambao hawana. kuirudisha ccm ni majanga!
 
Back
Top Bottom