Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,210
- 20,954
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.
Umesahau na ya Magufuli kusema atawafunga mafisadi wote bila kujua kumbe Kikwete na Mkapa ni mafisadi.Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.
Kaka in majina tu..Zanzibar kuna vespa za kufa MTU na zinapiga business kama kawa.Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!
Mtukaneni tu ila ndo Raisi wenu huyo
Kaka in majina tu..Zanzibar kuna vespa za kufa MTU na zinapiga business kama kawa.
Hata hivyo ukilinganisha na ya magufuli hiyo ni cha mtoto. Magufuli akihutubia aliwambia wananchi kuwa atawajengea madaraja..wakamwambia hapa mbona hakuna mito....akadakia hata mito nitawaletea.