Lowassa atoa pole ya vifo vya Mahujaji Mecca

Lowassa atoa pole ya vifo vya Mahujaji Mecca

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,042
Reaction score
134,330
Lowassa ameshtushwa na taarifa hizi. Gazeti la Nipashe limemnukuu mgombea wa urais wa CHADEMA akiumizwa na vifo vya mahujaji huko Maka.Lowassa ameumia na taarifa na kutoa pole kwa waislam wote duniani.

"Ni jana tu nimetoa salama za EID nikiwatakia waislam sikukuu njema, habari zimenishtua" amenukuliwa mgombea huyo.
 
Hii kitu inayoitwa sijui nini ndio safari ya hatari zaidi duniani kwa sasa. Ukirudi salama inabidi ukatoe sadaka. Kila mwaka inabidi kadhaa wafe; inatisha sana.
 
Hii kitu inayoitwa sijui nini ndio safari ya hatari zaidi duniani kwa sasa. Ukirudi salama inabidi ukatoe sadaka. Kila mwaka inabidi kadhaa wafe; inatisha sana.

Saudia inabidi waweke miundombinu mizur zaid ya iliyopo sasa,HIJJa haijaisha kushatokea majanga mara 2
 
Huko nyuma mbona waislam wengi tu wamekufa na hajatoa pole? Kwenye msiba wa Kisumo nako anakwenda na maandamano. Ni hako kweli?
 
Ndio uungwana huo.

Aache kuchezea misikitini. Jana alikwenda kufanya nini? Hana hata udhu. Asifikirie waislamu ni wapumpavu kama Mtei. anayejitangazia demokrasia huku, ili hali haipo moyoni.
 
Lazima tuungane katika matatizo, siku zote rafiki asiyekufaa wakati wa shida huyo si rafiki bali mzigo. Hongera Mhe. Lowassa kwa salaam za rambirambi
 
Uloi nga mâché68;14107896 said:
Misiba nayo anafanyia Siasa? Kwa Kisumo alifanya hivi hivi!

Acha kuweweseka, na bado!!

Mumzuie na kwa Kombani
 
alipokuwa mnamwita achangie je alikuwa na udhu?ama leo ndo umeona?msipandikize chuki kwa kuwa haupo nae wngine hatuna din na ww pia ni muumin tu huijui dini
 
Back
Top Bottom