Mkuu habari yako? Kwanini mlimteua Marhum huyu kugombea nafasi ya ubunge ilhali afya yake haikuwa thabiti?
Mungu amlaze anapostahili!
View attachment 290947
inalilllah wa inalilah rajun!
Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA
Hehehehe nilitaka kukupa majibu kwanini picha hiyo inagombaniwa huko mombasa, lkn acha nikae kimya maana magamba watakuja juu sanaKuna wazee kule Mombasa nasikia picha hii wanainunua kwa bei mbaya sana sijui ni kwa nini! Mwenye kujua anifahamishe tafadhali maana mambo ya Mombasa siyajui mie.
Magufuli yupo kimya tu
Maandamano aliondoka nayo Slaa.Lakini msiandae maandamano kwenye mazishi.mlishafunzwa
Niliwahi kuambiwa hbr ya wagonjwa wawili walikua wamelazwa hospitali moja kanda ya ziwa mmoja alikua hoi hajitambui anakoroma hakuwa na ndugu hivyo alikua akitoa harufu.Mwenye nafuu alienda kutembelewa na huyo mtu alieniambia kisa hicho yule mgonjwa wake (mwenye nafuu) alimwambia 'Tutoke nje tukaongee huyu mgonjwa ananuka yuko hoi sijui ht kama saa 11 itafika (ilikua saa 10.30 jioni) Ajabu yule mgojwa mwenye nafuu alikufa usk ule ule aliyekua anakoroma yupo mpk leo.NAWASHAURI MNAOTAKA KUINGILIA KAZI YA MWENYEZI MUNGU MUACHE.Yeyote amtamkie kifo mwenzake, basi ni yeye atatangulia kuionja mauti, amini amini nawaambieni, yeyote amtakiae mwenzio uzima, basi atauonja uzima wa milele. Nawatakia uzima na afya tele wadau