Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo
hizi mbio za 2015:A S 112:
Mods tafadhali tupe takwimu wengi ninao wafahamu members ni happa nchini lowassa ukweli ni mwizi haitaji nafasi anayopewa
atakuwa rais wa monduli lkn sio tz. never hata afanye nini.
1. Huyu fisadi papa akienda ikulu nyerere anafufuka
2. Akienda ikulu huyu popobawa babomu mengine yatalipuka
3. Akigombea na watanzania wakaamuunga mkono basi watanzania ni mijusi si watu
4. Akithubutu kuchukua fomu na wakati anafahamu kuwa watanzania wanamfahamu kama fisadi= basi kwenye kundi la mamba na kenge wapo
5. Kadiri anavyotuzugazuga bila sisi kufahamu ifike mahali wote tuchapwe viboko 70 kila mmoja wetu
6. Kweli si si em haina watu ina maboga!
yani sijakupata hata chembe. Unategemea huyo fisadi aende mikono mitupu kisa michango iko ya aina nyingi? Au ulitaka akachangie damu?
Lowassa huwa ananifurahisha sana!
anawasifu jw kwa lipi sasa? kwa kulipua mabomu dhidi ya wananchi?
Nimeshangaa sana kwa nn mkuu wa polisi (IGP) amempigia salute Edward Ngoyaye Lowassa walipoenda kutembelea kambi ya jeshi Gongolamboto. nikajiuliza ina maana mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama anastahili hiyo heshima au ndiyo woga kwa huyu fisadi?????
Woga kwa ufisadi