Lowassa atembelea waathirika

Lowassa atembelea waathirika

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
240
Lowassa na kamati yake leo wamewatembelea waathirika wa mabomu ya Goms. Amesikitishwa na baadhi ya hospitali kutoshiriki kutoa msaada na pia amesifia weledi na utendaji wa JWTZ.

Source: Habari tbc1
 
Uenyekiti kamati ya kudumu ya mambo ya nje.ulinzi na usalama....uchochoro huu kwa EL,keshapata pa kutokea teh teh teh...bongo bana!
 
Uenyekiti kamati ya kudumu ya mambo ya nje.ulinzi na usalama....uchochoro huu kwa EL,keshapata pa kutokea teh teh teh...bongo bana!

Jamaa amekaa tayari! Filimbi ikilia tu yeye wa kwanza....anatamani Kikwete asifike 2015 kwa sababu yeyote ile.
 
Mbio za Uraisi hizo, yukpo kwa ajili ya 2015. Siku hizi kila atakalosema lazima wamuonyeshe. Raisi bora hawezi toka CCM
 
amewachangia tumilioni tungapi?
:decision:

Mchango si lazima uwe wa kifedha. Kuna mchango wa hali, ari na mali. Tusiwe mateka wa mali. Umateka wa mali asili yake ni tamaa na zao lake ni ufisadi
 
Lowassa yuko very strategic....no wonder akawa magogoni by Dec 2015!!
 
Only CRIMINAL have Power in Tanzania, angalia kama criminal Kikwete, criminal Lowassa na ma-Criminal wengine wanamuaandaaa CRIMINAL LOWASSA Kuja kumalizia alipoa achia Kazi yake ya Kuiba kodi na Kuingia Mikataba feki
 
Lowassa Hafai hata kuanzishiwa thread jambazi jangiri fisadi nyangumi
 
Lowassa Hafai hata kuanzishiwa thread jambazi jangiri fisadi nyangumi

Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo
 
Thread zenyewe wapiga kura hawazisomi, na wanaozisoma hawapigi kura.
Sidhani kama unajua kuwa wachangiaji wengi wa jf ni walio nje ya TZ na wengine hawategemei hata kurudi bongo
Mods tafadhali tupe takwimu wengi ninao wafahamu members ni happa nchini lowassa ukweli ni mwizi haitaji nafasi anayopewa
 
:decision:

Mchango si lazima uwe wa kifedha. Kuna mchango wa hali, ari na mali. Tusiwe mateka wa mali. Umateka wa mali asili yake ni tamaa na zao lake ni ufisadi

yani sijakupata hata chembe. Unategemea huyo fisadi aende mikono mitupu kisa michango iko ya aina nyingi? Au ulitaka akachangie damu?
 
Sasa ndo wanasema anaandaliwa kwa 2015 agombee urais
 
:decision:

Mchango si lazima uwe wa kifedha. Kuna mchango wa hali, ari na mali. Tusiwe mateka wa mali. Umateka wa mali asili yake ni tamaa na zao lake ni ufisadi
aaah mkuu, inategemea bwana. Sasa huyo bwanamkubwa kaenda kuwaona macho matupu hajawaachia chochote wakati uwezo anao na watu wapo kwenye hali mbaya. Ameenda kuuza sura atoke kwenye media au!
 
Back
Top Bottom