kuanzisha uzi hapa jf uzi unatakiwa uwe katika kiwango kipi??
Tangu nijiunge jf sijawahi ona uzi wa ovyo kiasi hiki.

Subiri tukishamuapisha Magufuli uone kama Lowassa hajaomba msamaha na kusema sasa hatojihusisha tena na siasa ili apate huruma ya kufikishwa mahakamani.
Lowassa katangaza wenye ushahidi wapeleke mahakamani. Na hilo litafanyika.
Mali za wananchi alizoiba zitajulikana na zitarudi kwa wananchi. Mtakuja kunambia.
Mzee mgonjwa, mwizi afu bado mnamtetea, njaa mbaya sana tafuteni kazi nyingine.
ugonjwa wa mtu huna mamlaka wa kuuongelea, mbona hujiulizi huyo mgombea wenu alifuata nini kule loliondo kwa babu?