Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.
Kwa sasa anajuta ni kwa nini alikimbia chama. Magufuli hakikisha katika uongozi wako huyu mzee anarudisha feza za walipa kodi alizopokonya.
Subiri tukishamuapisha Magufuli uone kama Lowassa hajaomba msamaha na kusema sasa hatojihusisha tena na siasa ili apate huruma ya kufikishwa mahakamani.
Lowassa katangaza wenye ushahidi wapeleke mahakamani. Na hilo litafanyika.
Mali za wananchi alizoiba zitajulikana na zitarudi kwa wananchi. Mtakuja kunambia.

panga linaondoka nae, mtajuta kumpokea, ni mzigo huo hata watoto wa kindagateni wanalijua hilo.
kaa ukijta kumgusa E.L kuhusu ufisadi ni sawa na kukizika chama cha mapinduzi.maana mpaka mgombea wenu itabidi anyongwe pamoja na mwenyekiti wenu wa chama.
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.
Acha kuhangaika wewe, mzee wenu lazima akaungane na akina Mramba muda si mrefu.
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.
Kwa sasa anajuta ni kwa nini alikimbia chama. Magufuli hakikisha katika uongozi wako huyu mzee anarudisha feza za walipa kodi alizopokonya.
Dada yaani katika urais wake wote Magufuli akiuchapa usingizi akafanya hili tu, ataingia katika historia na kupendwa sana!
Hakuna kiongozi mwenye dhamana kubwa aliyeiba na kupora mali hususan ardhi lakini pia kupiga dili kila mkataba wa wizara aliyokuwepo au aliyoisikia mjini kama Lowassa. Na juu ya yote hakuna kiongozi arrogant kama Lowassa ndiyo maana anajiona hakuna wa kumzidi.
Sasa mwisho wake umefika. The day of reckoning!