LOWASSA Asema anahitaji Kura Milioni 10 tu

LOWASSA Asema anahitaji Kura Milioni 10 tu

Ushashinda lowasa zanzibar ushapata kura zote cjui huku watu wasikojielewa mpaka leo ccm ccm ***** iondoke tuu yaan naichukia kwel mpaka leo cmilki 100 km cjagaiwa na mtu
 
uyu mzee anaonekana kusaausaau mwamzo kabisa alituambia kura zake atazilinda yeye sasa nashangaa anawaambia wananchi kuwa waje wazilinde kura zao baada ya kupiga, nashindwa kumwelewa jamani; LOWASSA Asema anahitaji Kura Milioni 10 tu ili Awe Rais wa Tanzania........Asisitiza Tena Watu Wakipiga Kura Wabaki Wazilinde Zisiibiwe
 
ha ha haha,,,..l wizarani kwetu, wafanyakazi wote 816 wanampa EL!
 
Back
Top Bottom