Ccm mbele kwa mbele tumejipanga mwaka huu wataisoma.
Kweli ccm mbele kwa mbele
1. Wanawake kujifungulia Sakafuni
2. Watoto kusomea chini ya Miti
3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa
4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege
5. wizi wa ESCROW
6. Ufisadi wa EPA
7. Ufisadi wa RICHMOND
8. Ujangili Uliokithiri
9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu
10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite
11. Mikataba mibovu kwenye Almasi
12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk
13. Huduma duni za Afya
14. Huduma Mbovu za Elimu
15. Ukosefu wa Maji
16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika
17. Gharama kubwa za Umeme
18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia
19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi
20. Wawekezaji kutokulipa kodi
21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja
22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya
23. Ubovu wa barabara
24. Kugawana Nyumba za Serikali
25. Mauaji ya Daudi Mwangosi
31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira
32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime
33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta
35. Mabomu ya Arusha
36. Uvamizi wa vituo vya Police
37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi
38. Mabehewa Feki ya Treni
39. Ununuzi wa Ndege ya Rais
40. Mikataba 17 ya kichina
41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)
42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo
Katu hatutarudi nyuma na tukiingia madarakani yatakuja mapya zaidi ya haya, dogo hilo!