Chezea Tdm wewe Ccm lazima watambue kuwa hawana ushawishi hata wakimwaga hela wananchi wameamka siku hizi
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.
Lowassa alikuwa akienda kwenye harambee ya ya kanisa la EAGT ambapo alichangia sh milioni kumi.
Kutokana na sintofahamu hiyo kulikuwa na ulinzi mkubwa wa polisi ambapo Lowassa alikuwa na msafara mkubwa wa viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi.Kutokana na hali hiyo Lowassa alichelewa kufika kwa wakati kwenye harambee,kwani aliwasili saa 8 mchana badala ya saa 5 asubuhi.
Akizungumza kwa kifupi na waandishi Lowassa alisema alipata majaribu makubwa safarini lakini Mungu alimfikisha salama.Alidai alisaidiwa sana na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa Taifa Apson Mwang'onda.
SOURCE:NIPASHE JUMAPILI.
Walitakiwa kuliremba gari lake kwa mvua ya mawe.
Kuzomea haitoshi.
OTIS
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Kama huelewi hiyo nayo ni feedback mojawapo kwamba wamechoshwa na utawala wao.
Na kwa taarifa yako sisi em hawana ujasiri wa kuzomea hata kidogo. Waanzie wapi wakati bilioni kibao zinafujwa kila siku?
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit
Ni kinyume cha sheria kumpiga mawe mkuu.
kuiba sio kinyume cha sheria
CCM haina tena hata nguvu ya kuzomea mtu mkuu.Iko hoi bin taaban!
TUNDUMA wameshavuka mstari wa woga. I salute them allMji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.