Lowassa aongezewe ulinzi

We unayejivisha umungu kwa kumdhihaki mtu eti kesha jifia siku nyingi watch out..god is watching you...Lowasa anahitaji ulinzi wa Mungu wa mbinguni zaidi...yeye aliyeumba hata hao wanaotumwa kuua wenzao..
 
EDO ana ulinzi zaidi ya Kikwete kwa taarifa tu,zisizo rasmi
 
Lowassa ana ulinzi imara sana kwanza kitengo cha usalama pale msasani kashika mkononi pia kumbuka Apson nae yupo vizuri balaaaaa. Lowassa has got system within a system so he usually get right information from first strategy stage of magamba not an implementation.
 
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
Mkuu, nani amekwenda mahakamani? Na kama kuna mtu kaenda kanini kushadadakia mambo si muache sheria ichukuwe mkondo wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…