KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,875
- 40,026
Mkuu huu ulioandika hapa ni ukweli ambao...vijana wenzangu wa CDM hawapendi kuusikia......kwani wengi wao wanaabudu fikra za viongozi wao bongo zao............Kwa sasa CDM imekuwa chama kinachotaka kuingia Ikulu by any means necessary
Wasichokijua na kuelewa ni kuwa urais hauna ubia .. Lowassa akishaingia Ikulu hakuna wa kumwambia amteue nani wala nini .. sembuse kuwa keshawanunua akina Mbowe!
Tuliodhani kuwa CDM inasimamia itikadi, falsafa na dira aliyoizungumzia Dr Slaa 2010 hatukujua kuwa tulikuwa tunadanganywa tu na kutumika.
Sasa hakuna tofauti kati ya CCM na CDM hata kidogo. Tofauti ni moja - CCM iko madarakani na inahangaika isitoke, CDM bado na inahangaika kuingia madarakani. Hii ya uadilifu, utawala bora, vita dhidi ya ufisadi, kuboresha maisha ya watanzania ni uongo tu wanaotumia kufikia lengo lao kuu
nikikuangalia wewe na kukumbuka kuwa babako ndiye aliyetufikishahapa, kuwaacha watz wana hofu na wanaiona ccm kama muungu mtu, NAPATA HASIRA SANA NA SIPENDI HATA KUKUONA.babako kitu pekee alichokifanya ni kuunganisha taifa kuondoa ukabila na kufanya kiswahili kituunganishe, zaidi ya hayo ameifanya hii nchi ya kijamaa watu wavivu na alisakrifaisi kodi zetu kwa kukomboa nchi za wengine hadi tumekuwa masiikini wa kutupwa. bahati mbaya zaidi babako ndio kabisa hakujaliwa kupata watoto wa kuwarithisha uongozi/walau akili za kuongoza,mmebaki walevyi na desperate peoeple. poleni sana.Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
Kwa sasa CDM imekuwa chama kinachotaka kuingia Ikulu by any means necessary
Wasichokijua na kuelewa ni kuwa urais hauna ubia .. Lowassa akishaingia Ikulu hakuna wa kumwambia amteue nani wala nini .. sembuse kuwa keshawanunua akina Mbowe!
Tuliodhani kuwa CDM inasimamia itikadi, falsafa na dira aliyoizungumzia Dr Slaa 2010 hatukujua kuwa tulikuwa tunadanganywa tu na kutumika.
Sasa hakuna tofauti kati ya CCM na CDM hata kidogo. Tofauti ni moja - CCM iko madarakani na inahangaika isitoke, CDM bado na inahangaika kuingia madarakani. Hii ya uadilifu, utawala bora, vita dhidi ya ufisadi, kuboresha maisha ya watanzania ni uongo tu wanaotumia kufikia lengo lao kuu
Kumbuka anaingia ikulu kupitia Chadema hivyo waziri lazima atoke chadema
Hapana waziri siyo lazima atoke Chadema. Rais anaunda baraza lake. Katiba haisemi kutoka chama chake. Hebu soma vizuri katiba ..
Rais ana nguvu sana chini ya katiba hii ambayo Ukawa ilitaka kuitoa na kuweka katiba ya wananchi ya Tume ya Warioba. Unajua nani alishiriki kuiua Rasimu ya Warioba na kuandika Katiba Pendekezwa ya CCM? Lowassa! Na leo mnataka awe mgombea wa Ukawa?!
Na moja ya sababu iliyotolewa na maswahiba wa Lowassa including swahiba wake mkuu Andrew Chenge ni kwamba Rais ktk Rasimu ya Warioba amepunguziwa sana madaraka, hana majeshi nk. Mnafikiri agenda ya Lowassa itakuwa katiba mpya ya wananchi ajipunguzie madaraka?
Naomba mjiulize haya maswali na myatafakari kwa kiina..
Kwa sasa CDM imekuwa chama kinachotaka kuingia Ikulu by any means necessary
Wasichokijua na kuelewa ni kuwa urais hauna ubia .. Lowassa akishaingia Ikulu hakuna wa kumwambia amteue nani wala nini .. sembuse kuwa keshawanunua akina Mbowe!
Tuliodhani kuwa CDM inasimamia itikadi, falsafa na dira aliyoizungumzia Dr Slaa 2010 hatukujua kuwa tulikuwa tunadanganywa tu na kutumika.
Sasa hakuna tofauti kati ya CCM na CDM hata kidogo. Tofauti ni moja - CCM iko madarakani na inahangaika isitoke, CDM bado na inahangaika kuingia madarakani. Hii ya uadilifu, utawala bora, vita dhidi ya ufisadi, kuboresha maisha ya watanzania ni uongo tu wanaotumia kufikia lengo lao kuu
sasa unataka kusemaje wewe mkuu?
Ile thread ya familia ya Lowassa kuchunguzwa Uingereza imeondolewa.? Kusema kwamba kuna mtu anatishia maisha yake Lowassa wakati wale ni Crime Family,that is an insult.