Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,089
- 12,811
Umenikumbusha mbali sanaWananchi gani wanamuomba huyo mgonjwa tena mzee? Mpaka bunge linaisha Mkono alikuwa kitandani, leo Lowassa hata kutembea tu ni mtihani, ndio wananchi wamuombe?