Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Hahaahaahaaa3) Mbona hajawahi kuomba msamaha kwa kuwapotosha wapigakura alipowaahidi suala la kulinda kura ni lake aachiwe na baada ya kushindwa akadai aliibiwa?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ila Magufuli kwa kukamata kamata na kunyima uhuru ndio anastawisha upinzani huku akitoa maagizo kuwa spika awashungulikie bungeni nae wakitoka huku nje atawashughulikia!!!
Hivi yule aliyekuwa akiripoti Central kila week kwa kosa la uchunguzi wa uchochezi baada ya kusema masheikh wa UAMSHO toka zanzibar walioshikiliwa Ukonga kwa miaka minne sasa huku kesi tunambiwa uchunguzi bado ni Baba yako ama baba watoto?!!!
He owns them all.Ila unajua alitoa pesa mkazipokea kwa furaha..
Aliekuambia kazi ya magufuli ni kustawisha upinzani ni nani? Subirini ndoto zenu za mchana za kushika dola zitimie ili muweze kuustawisha upinzani.Ila Magufuli kwa kukamata kamata na kunyima uhuru ndio anastawisha upinzani huku akitoa maagizo kuwa spika awashungulikie bungeni nae wakitoka huku nje atawashughulikia!!!
Hivi yule aliyekuwa akiripoti Central kila week kwa kosa la uchunguzi wa uchochezi baada ya kusema masheikh wa UAMSHO toka zanzibar walioshikiliwa Ukonga kwa miaka minne sasa huku kesi tunambiwa uchunguzi bado ni Baba yako ama baba watoto?!!!
Mwacheni wazir mkuu mstaafu akamilishe mission yake!Ni hivi mimi ni mshabiki wa upinzani na hasa cdm, sikuwahi kuumuunga mkono Lowassa na nililalamika kwamba lile ni kosa kubwa haswa baada ya ule upuuzi aliokuwa akiufanya Shibuda. Nilitarajia upinzani na hasa cdm watakuwa walijifunza kuhusu kupokea makapi toka ccm na kuyapa nafasi, cha kushangaza ndio wakafanya kosa kubwa kuliko yote ya kumpokea Lowassa na kumpa nafasi namba moja katika chama ya kugombea urais.
Matokeo yake baada ya Lowassa kuingia cdm, cdm kimegeuka kuwa chama cha kikondoo, hakuna lolote jipya aliloleta Lowassa ndani ya cdm zaidi ya kuwinda nafasi ya kugombea urais tena kwa faida ya CCM. Mambo yaliyoipa cdm nguvu huko nyuma yote yamemezwa na ujio wa Lowassa, kiasi kwamba wanaposema Mbowe na uongozi wa juu walihongwa kutoa nafasi ya kugombea urais kwa Lowassa inakuwa ni ukweli. Leo hii Magufuli na ubovu wake katika uongozi anaonekana ni bora kwani analinganishwa na Lowassa. Lowassa hajawahi kuwa mwanasiasa wa aina ya siasa za cdm, ubora wake wote huwa unaimbwa na wapambe lakini sio yeye.
Nashangaa wapenzi washabiki na wanachama wa cdm kuwa kimya wakati chama kimeendelea kufubaa kwa sababu ya uwepo wa Lowassa. Hili tukubali la kuendelea kuwa na Lowassa ndani y ya cdm ni kuimaliza cdm, ni wakati wa wote wanaoitakia mema cdm kupinga Lowassa kukaa nafasi za mbelembele kwenye mambo ya chama kwani hana mapenzi na chama zaidi ya kuhakikisha cdm inampa nafasi ya kufikia matakwa yake. Huyo Mbowe sio wa kumuacha tena aamue lolote kwani amekiharibu chama kwa faida yake ya muda mfupi.
I concur! Lowassa alikuwa asset kipindi cha uchaguzi, kwa sasa anaanza kuwa liability!Lowassa alijiunga upinzani baada ya kudhulumiwa Urais ccm. Vinginevyo hakuwa na khoja ya kuwa mpinzani. Hivyo, ni masilahi binafsi siyo sera zimempeleka upinzani.
La ajabu, upinzani uchwara tulionao unamwona ni JEMBE!
Lowassa siyo mpinzani hata chembe ila anatumiwa na ccm kudhoofisha upinzani.
Maswali ya kujiuliza
1) Mbona hasumbuliwi kwa kuwekwa ndani na kufikishwa Mahakamani kama wengine?
2) Mbona hakerwi na mfumo mzima wa chaguzi zetu? Lini ulimsikia akihimiza mageuzi ndani ya sheria za uchaguzi hususani NEC?
3) Mbona hajawahi kuomba msamaha kwa kuwapotosha wapigakura alipowaahidi suala la kulinda kura ni lake aachiwe na baada ya kushindwa akadai aliibiwa?
4) Mbona hadi leo hajatoa majumuisho ya kura alizozipata hususani fomu za vituo na za majimbo kutuhakikishia ya kuwa alishinda kwa 62% kama alivyodai?
5) Mbona hadi leo hajaenda Mahakama kuu kuiomba kibali cha kuhesabu kura zote ili tujue mbichi ni zipi ?
6) Mbona hajalalama marekebisho ya sheria za mgao wa ruzuku zinazolenga kuusambaratisha UKAWA?
7) Mbona hadi leo kaufyata kupigania haki ya kikatiba ya upinzani kuendesha shughuli zao bila vikwazo na vitisho?
NIONAVYO
Lowassa ni CCM mole yuko huko kuwadhoofisha kwa kuwatupia changa la macho kwa kuboresha ruzuku ili wasahau mambo ya kimsingi kama NEC kututendea haki wapigakura.
Lowassa has too much to lose and too much baggage to carry to represent a lynchpin of change we are looking for....
Baada ya kushindwa kumsafisha Lowasa sasa mabavicha yanaanza kampeni ya kumchafua yenyewe, ha ha ha.Inasikitisha kuona watu wanaanza kushtukia mchezo miaka miwili baada ya kuingizwa kingi..endelea kuzindua wenzako pia