Lowassa anauchu wa madaraka

Lowassa anauchu wa madaraka

njenga karume

Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
12
Reaction score
9
Edward Lowassa hatumchukii kama wengine wanavyodhani ila wasiwasi wetu ni jinsi anavyotaka uraisi. 1995 wakati kikwete anatangaza nia wakiwa marafiki na lowassa bado lowassa alidrirki kuchukua fomu huu ni usaliti... Mzee sitta( Mwenyekiti wa Kampeni ya Kiwete 1995) alifanya kazi kubwa sana kuwapatanisha. kikwete ni muungwana akamkubalia. 2005 Lowassa akafanya fitna ya kuhakikisha sitta anapata mpinzani akamuweka rafiki yake apamabane na sitta. yeye lowassa akapita bila kupingwa jimboni kwake ikabidi sitta ajitoe kuwa Mwenyekiti wa Kampeni za JK kwa shughuli za jimbo lake Urambo. lowassa akatwaa uenyekiti.

Baada kikwete kushinda 2005 lowassa akafanya juu chini awe PM. ndipo hapa akaanza tena mbio zake za urais. wakati wa vikao vya bunge kila week alikuwa anakutana na wabunge wa kila mkoa kujiandaa kuwa Raisi 2010 huku akisema kikwete ni Rais wa Term moja tu. Ndio maana JK asingeweza kumtetea wakati sakata la richmond kwa hiyo asimulaumu JK ajilaumu mwenyewe. Lowassa toka '95 anataka uraisi hata akishindwa 2015 bado atagombea 2020,yupo tayari kwa lolote.

Ndio maana viongozi waandamizi wana muogopa.
 
Sidhani kama ni kweli ana uchu wa madaraka. Kumbuka huyu bwana hajawahi fanya kazi nje ya siasa. Kw mtazamo wangu naona ana shangaa wanaCcm wenzake wanabyo iyumbisha hili Taifa.
 
Umeingia juzijuzi JF halafu povu linakutoka as if umekuwa JF expert, tulia dogo jenga hoja vzr usizungumze bila kupima upepo uko wapi, Lowasa akiteuliwa na CCM ndo kashindwa urais hakuna asiyemjua.
 
Maswali 25 kwa Mheshimiwa Lowassa
Watanzania wengi tumepata kuwaelewa japo kwa uchache na kuwajadili wanasiasa wengi katika waliojitokeza kuonyesha nia ya kutaka kiti cha Urais wa awamu ya tano kutokana na michango yao mbali mbali bungeni na mahojiano ya hapa na pale. Lakini inapokuja kwa Mheshimiwa Edward Lowassa ambae ni moja ya wanaotajwa na waliojitaja kuwa wanautaka Urais wa Awamu ya tano wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, tumekuwa tukimsemea mambo mengi kwa kuwa zaidi ya harambee mbali mbali, amekuwa kimya kwenye kuchangia bungeni, au kutoa misimamo yake kwenye vipindi mbali mbali vya radio na Tv vinavyojadili siasa. Natamani siku anipe ruhusa nimuulize maswali haya yafuatayo ili tumsikie yeye mwenyewe maoni yake na misimamo yake tupate "reference" badala ya kuishi kwa maoni na maono yetu sisi kuwa lowassa ana msimamo huu na ule..
1. Kwanza ningependa kujua wasifu wako binafsi na kama baba wa familia yako
2. Unaweza mtambua mtu kwa kuangalia Rafiki zake waliomzunguka, Je mheshimiwa Lowasa marafiki zako wa karibu ni akina Nani
3. Nje ya siasa Je una biashara nyingine unafanya? Je kwa kupitia kipato chako kuna uwekezaji wowote umefanya Watanzania wakapata ajira?
4. Je kipato chako na matumizi yako ni matunda ya mishahara na marupurupu ya kuajiriwa serikalini?
5. Kipi unachoweza jivunia baada ya kuwa waziri wa maji kwa muda wa miaka 5, kuna mabadiliko yoyote uliyafanya?
6. Je wewe ni muumini wa Mwalimu Nyerere?
7. Una maoni gani juu ya azimio la Arusha?
8. Umeshakuwa waziri mwenye dhamana wa maendeleo ya makazi ya watu na baadae waziri mwenye dhamana wa Umaskini, Je ni kipi cha kujivunia katika uongozi wako huo uki"reflect" na hali iliyopo sasa?
9. kwa nini Urais? Je mabadiliko unayotaka kuyafanya hayawezekani wewe ukiwa mwanajamii, mbunge, na waziri?
10. Je unakubaliana na maoni ya wengi kuwa kwa miaka 50 sasa serikali ya CCM Imeshindwa tatua tatizo la maradhi na umaskini? Kama ndio wewe kama kiongozi ndani ya CCM uliyeanza madaraka tangu miaka ya mwisho wa 80 mpaka leo unayo nafasi ya kulaumiwa?
11. Wasifu wako unaonyesha tangu umeingia serikalini, ni wizara 1 tu umekaa kwa muda wa miaka mitano, zingine zote hikumaliza miaka 3, ukahamishwa au ukajiuzulu, kwa mfano AICC mwaka 1, sheria na mambo ya bunge miaka 3, ardhi na maendeleo ya jamii miaka 2, mazingira na umaskini miaka 3 na mwisho uwaziri mkuu miaka 2 na nusu, ufupi huu unatokana na Utendaji wako, imani ya muajiri wako, au ni mikataba ya kazi ambayo hupewa?
12. Tumemskia mara nyingi ukisema nchi hii inakosa kiongozi mwenye Maamuzi magumu, ukitumia mifano michache tuelezee maamuzi magumu ni yapi kwenye kuwaletea maendeleo Watanzania
13. Je unazichukuliaje kamati teule za bunge na ripoti za kazi walizotumwa
14. Kama Wewe Lowassa ungekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania leo hii baada ya ripoti ya Escrow kutolewa na "kamati" ya Bunge ungemchukulia hatua gani waziri Mhongo na waliohusishwa kwenye kashfa ya Escrow na je ungekuwa na Maamuzi tofauti na yale aliyoyafanya Rais wa sasa?
15. Je unaikubali ripoti yakamati ya PAC? Kama ndio, kwa nini si kamati ya Mwakyembe
16. Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere kwa Maoni yake binafsi alikuengua kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, miaka 10 baadae, Rais kikwete akakuteua kuwa waziri mkuu, kuonyesha kuwa Mwalimu hakuwa sahihi wabunge wakakupitisha kwa kishindo kwa kura 312 kati ya 314, swali ni je, kwa nini miaka mitatu kasoro baadae wabunge walewale wamtuhumu mtu waliyempitisha kwa kishindo kwa sababu ambazo wewe unasema si za msingi. Nikikunukuu "tatizo ni huu uwaziri mkuu", kwa nini wakugeuke kutaka uachie uwaziri mkuu? Na je Nyerere aliona mbali?
17. Moja ya matatizo makubwa ambayo Watanzania wanalia nayo na ndio yaliyotufikisha hapa ni Rushwa na Ufisadi, Je ipo record yoyote kuwa kuna sehemu yoyote hapa Duniani ulishawahi tamka kukemea Rushwa?
18. Na je unapinga Rushwa na Ufisadi? Katika msimamo wako wa Maamuzi magumu, tukikupa nchi unahisi ni vipi wala Rushwa na Mafisadi utawatambua na vipi utawahukumu ( swali la msingi ni kuwa ipi itakuwa mbinu yako ya kupambana na Rushwa na Ufisadi)
19. Je kwa maoni yako, mikataba ya gesi asilia, mafuta, madini na nishati inafaa iwekwe wazi au iwe siri
20. Kuna minong'ono ya hapa na pale kuwa ipo sehemu ulitamka kuwa ulijiuzulu kumficha Richmond mwenyewe na kuna mtu alikuwa anaijua Richmond, kwa kuwa Wewe unajinadi kuwa ni muumini wa kufanya Maamuzi Magumu, Je Unaweza fanya maamuzi magumu sasa kwa kumtamka hadharani aliyekuwa anaijua Richmond na aliyeilinda Richmond pale ulipotaka vunja mkataba? Kama huwezi sasa kwa nini tukuamini mpaka tukupw nchi ndo utaweza?
21. Kwa kauli zako Ajira kwa vijana ni Bomu, Mheshimiwa ni Rahisi kuonyesha udhaifu kuliko kuuondoa, je ni Ipi mbinu yako au maoni yako unahisi ni njia sahihi ya kuongeza ajira kwa vijana kuzuia bomu lisiripuke
22. Wakati wa kuukaribisha mwaka 2014 ukiwa kijijini monduli ulisema "tulihudhunika pamoja, tutacheka pamoja" je wakati tuliohudhunika pamoja ni upi? Miaka 53 baada ya uhuru, awamu ya Kikwete au ulipojiuzuru uwaziri?
23. Upi msimamo wako katka idadi ya serikali? Moja, mbili au Tatu?
24. Tukirejea hotuba yako ya kujiuzulu uwaziri Mkuu mwaka 2008, ni sahihi kusema mtazamo wako ni chama kwanza Watanzania baadae?
25. Nini msimamo wako kuhusu ndoa za jinsia moja8. Umeshakuwa waziri mwenye dhamana wa maendeleo ya makazi ya watu na baadae waziri mwenye dhamana wa Umaskini, Je ni kipi cha kujivunia katika uongozi wako huo uki"reflect" na hali iliyopo sasa?
 
Edward Lowassa hatumchukii kama wengine wanavyodhani ila wasiwasi wetu ni jinsi anavyotaka uraisi. 1995 wakati kikwete anatangaza nia wakiwa marafiki na lowassa bado lowassa alidrirki kuchukua fomu huu ni usaliti... Mzee sitta( Mwenyekiti wa Kampeni ya Kiwete 1995) alifanya kazi kubwa sana kuwapatanisha. kikwete ni muungwana akamkubalia. 2005 Lowassa akafanya fitna ya kuhakikisha sitta anapata mpinzani akamuweka rafiki yake apamabane na sitta. yeye lowassa akapita bila kupingwa jimboni kwake ikabidi sitta ajitoe kuwa Mwenyekiti wa Kampeni za JK kwa shughuli za jimbo lake Urambo. lowassa akatwaa uenyekiti.

Baada kikwete kushinda 2005 lowassa akafanya juu chini awe PM. ndipo hapa akaanza tena mbio zake za urais. wakati wa vikao vya bunge kila week alikuwa anakutana na wabunge wa kila mkoa kujiandaa kuwa Raisi 2010 huku akisema kikwete ni Rais wa Term moja tu. Ndio maana JK asingeweza kumtetea wakati sakata la richmond kwa hiyo asimulaumu JK ajilaumu mwenyewe. Lowassa toka '95 anataka uraisi hata akishindwa 2015 bado atagombea 2020,yupo tayari kwa lolote.

Ndio maana viongozi waandamizi wana muogopa.
Wewe mbulula kwanin jk asingempsha lowasa 1995 acha kuwaza kuptia makalio...OUR PRESDENT 2015 IS LOWASA UKTAKA JIUE
 
LOWASSA hana sifa za uongozi, ni mwanasiasa mwenye uchu wa madaraka.

Nimefuatilia mahojiano kadhaa ya Ndg.Lowassa kabla na baada ya uchaguzi mkuu (2015) kila mara akihojiwa akekuwa akiongelea kuhusu azma yake ya kugombea uraisi na jinsi gani anaweka mikakati kabambe ya yeye kuhakikisha anashinda au chama chake kinashinda bila ya kutoa mikakati ya kuondoa umasikini,rushwa nk.

Safari ya Matumaini (akiwa CCM);

Kipindi hiki alikuwa akiomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM, kila alipopita maneno aliyoyazungumza ni ‘’mafuriko hayazuiliwi kwa mikono’’..hii ilitokana na kwamba alikuwa na uhakika kawanunua wajumbe wengi ndani ya CCM na upande mwingine alitengeneza maigizo ya ’wachungaji’,’masheikh’,’wanafunzi’ nk ambao walijenga taswira ya kuwa ‘wametumwa na watanzania wengine’..hiki ndicho kipindi kabla hajaikodi CHADEMA rasmi, wanaCHADEMA walimpinga kwenye mitandao yote ya kijamii wakionyesha ni jinsi gani ananunua uongozi kwa kurubuni wananchi…..mara nyingi alizunguka na wapiga ramli na ‘’manabii’ ili kufanya propaganda huku akiacha kuzungumzia mambo muhimu ya kitaifa hasa kansa ya ufisadi.Mara nyingi kila mkoa aliopita alizungumza kwa hofu ‘’ mafuriko hayazuiliwi kwa mkono,Mzee Mangula hatanikata niungeni mkono’’…dhahiri alijua anakiuka masharti na kumhadaa Mzee Mangula ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu na Makamu mwenyekiti CCM Bara.

Safari ya Mabadiliko (CHADEMA)

Ghafla baada ya ‘kukatwa’ CCM akaikodisha CHADEMA na vyama vitatu (NCCR,CUF na NLD) na kuuziwa nafasi ya kugombea urais sasa kwa kutumia wapiga ramli, masheikh na ‘manabii’ waliendelea kutengeneza mazingira na propaganda kuwa bila yeye kuwa Raisin chi ingeangamia na watu wangekufa sera yake kuu ikawa ‘sitafukua makaburi’…tafsiri rahisi ni kuwa kama uliiba hatajishugulisha na wewe kila mtu afanye yake…akaendelea ‘siatfuatilia mtu,nitahakikisha kila mtu anakuwa tajiri’…fanya yako yeye hatojishughulisha, kimjini wanasema ‘’kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.

Baada ya Uchaguzi (wananchi wamemkataa kwenye kura)

Kwa sasa kila napoenda kuhojiwa na waandishi wa habari na mkutano wa CHADEMA yeye akili yake ni uchaguzi wa 2020; yeye anaangali mazingira yoyote yale ili awe raisi, mipango ya kuhakikisha kizazi kijacho wananufaika na rasilimali sio kipaumbele chake,amejawa ubinafsi. Kila akihojiwa hupenda neno ‘’tirany of numbers’’ yaani kinachomsumbua ni jinsi gani atakuwa na idadi ya kura za kutosha awe raisi mwaka 2020 au 2025, hajishughulishi na chochote,yeye anafanya kampeni tu,wahariri wa magazeti wananufaika naye kwani anataka naye kila siku gazeti linukuu kauli yake. Mtaalamu mmoja marekani aliwahi kusema,nanukuu kwa umeombo ; ‘A politician thinks of the next election; a statesman thinks of the next generation’. ~James Freeman Clarke, Sermon.
 
Point tupu.
 
Mmeshamsema sana mpaka mkafikia mahala pa kutuaminisha kuwa Tanzania ina fisadi mmoja tu ...

Kukatwa na kuhama hakuanza Lowasa.... Kumbuka hata Slaa alipita humo humo..
Akina Wasira, makongoro, Shibuda etc nao humo humo... Unachokifanya ni kuendeleza wimbo ule ule wa fisadi ni mmoja... kumbe wamejaa huko
 
Hili lilishasemwa weeee ,ila bado jamaa anapasua miamba tu
 
hivi mambo ya kuandika yameisha?!
 
ok huu wimbo wa lowasa umechuja sasa,tunaomba wimbo mwingine tafadhali.au mnasubiri tune ya choir master????OK atakuja na lingine mda c mrefu subirieni kdg tu hlf mrudi kutuimbia tena....ccm mnachemka vby sana
 
Mmeshamsema sana mpaka mkafikia mahala pa kutuaminisha kuwa Tanzania ina fisadi mmoja tu ...

Kukatwa na kuhama hakuanza Lowasa.... Kumbuka hata Slaa alipita humo humo..
Akina Wasira, makongoro, Shibuda etc nao humo humo... Unachokifanya ni kuendeleza wimbo ule ule wa fisadi ni mmoja... kumbe wamejaa huko
Hujakanusha hoja mezani...unalia lia ...uliwasema sio wanamazingaombwe.
 
ok huu wimbo wa lowasa umechuja sasa,tunaomba wimbo mwingine tafadhali.au mnasubiri tune ya choir master????OK atakuja na lingine mda c mrefu subirieni kdg tu hlf mrudi kutuimbia tena....ccm mnachemka vby sana
unpenda kuimba?..jikite kwenye mada!
 
Back
Top Bottom