Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Mzee Mwinyi alipota kusema "kila zama na vitabu vyake" ...ama siye wa wahali husema "mja asahau asili yake".
Edward Lowassa alipata kusema kwa kumaanisha "toka nimalize chuo mwaka 1977 sikuwahi kuajiriwa na mtu mwingine zaidi ya CCM" nichukue fursa hii kumpongeza kwa utumishi uliotukuka toka mwaka 1977.