mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
hivi huyu mtu ana kipi hasa...naona kuna nguvu kubwa sana inatumika dhidi yake ..tumeambiwa ni fisadi lakini fisadi huyo huyo anapendwa na wananchi ....nguvu ya kununua viongozi wa upinzani nayo haiko nyuma....lakini kila linalofanyika kwake ni kama linampaisha badala ya kumshusha..ninachokiona ccm ishachokwa hata kifanyike kitu gani huyu mtu hazuiliki