simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,788
- 9,720
Baada ya kujinadi kukiunganisha chama kufatia mivutano mchakato wa uteuzi; ni dhahiri kwa hili amefeli.
kwahiyo unataka kusema kuwa, hizo barabara zinakuwa zimepigwa fungu la kumi hivyo wachina hawana budi ila kujenga kwa kahela walikobakishiwa? kilichopo kwenye makaratasi tofauti na wanachopewa kujengea? au unataka kusema nini? nani wa kulaumiwa sasa?kila mtumia bara bara mwenye gari na asiyekuwa na gari akipita barabani lazima atukane aliye simamia ujenzi wa barabara hizo inasikitisha sana ukimchukuwa mama mjamzito lazima ajifunguliye barabarani ndani ya jiji la dar es salaam mashomo kama mapango bara bara hazina mwaka au miaka 2
Ndani ya CCM nani anafaa? Kwa nini huyo anayefaa zaidi ya Magufuli hakuchaguliwa?Lowassa anabahati sana, sababu Magufuli hafai
Kweli ukipenda chongo utaita kengeza!ni magufuli tu,vibaka wengine! msitufanye watanzania wajinga,leo slaa atajificha wapi?
Very true
Kingunge alimwambia alete suluhu na Lowassa
yeye akampotezea
inaweza kum cost