Lowasa anamtaka kwa sababu zifuatazo,kuondoa dhana ya Ukaskazin,kuteka kundi la vijana cos Slaa,Mbowe na Lipumba wote ni wazee na mwisho umoja.
Kama hii habari ni ya kweli, nitazidi kuamini huyu mchaga ni mnafiki na yupo pale kwa maslahi yake binafsi na siyo ukombozi wa taifa letu.
umenena.!! hata shetani anashangaa ,hapa wanaomkataa ZZK sio chadema bali ni Mbowe na LissuIla kama ukawa wako tayari kumpokea Luwasa wanashindwaje kumpokea ZZK iwapo kama wote lengo ni moja? C unafiki huo?
Hukumbuki kauli ya mchungaji Msigwa kuwa Chadema ni kama kanisa la wokovu, halichagui, so kwanini zitto haruhusiwi kanisani (chadema)?
CHADEMA imejitoshereza bila huyo Lowasa na Hayatollah,wasiaze kulazimisha mambo si ameshajibiwa na UKAWA kuwa hawamhitaji na yeye akajibu kuwa hajaomba kujiunga nao sasa anachotaka bado ni nini?! ZZK Amepima upepo ameona huu ndo mwisho wake kisiasa sasa anataka kuwapandia wenzake mgongoni !! ngoja akome .Kama Lowassa anataka kupewa fursa ya kugombea asiwape wenzake masharti otherwise arudi CCM tuone maana Zitto ni tapeli aubaingie ACT agombee lkn co kubebwa alafu unakuwa na masharti ya kijinga.
Chadema wakimrudisha Zitto kwenye kambi yao na withdraw support yangu kwao