Eti nilikuwa mojawapo ya list of shame! Hata kama ingekuwa kweli, hiyo list ilikuwa na watu wangapi, mimi ndio niko upinzani nashambuliwa hao wengine wako wapi? Tusonge mbele, mabadiliko ni lazima
Edward Lowasa.
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?Anatapatapa hana jipya, anatafuta kiki upya, c watz tumeshamuona anatumiwa kutulaghai, imekula kwake..!!
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything
Inawezekana kabisa babu ana senile dementiaHana jipya ndio maana anatapatapa, kila siku miaka hiyo 8 unayosema ni hilohilo tu:what: haoni la Escrow huko amefumba macho kwasababu anatumiwa na wivu pia unachangia, akaimbe taarab huko ndio kuna majibizano, piiiiipoooozzzz...
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything
Majibu mepesi kwa hoja ya msingi
anayetapatapa ni yule mwenye agenda moja for 8 years au huyu aliyejibu agenda ya miaka 8 kwa sentensi tatu?
Shida kubwa ya upeo kwa watanzania... no wonder we can achieve anything