Lowassa amewatembelea wagonjwa leo katika hospitali ya CRCT Mjini Moshi

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,932
5,560
Aliyekuwa mgombea uraisi kwa tiketi ya Chama cha demokrasia na Maendeleo na kuungwa mkono na Umoja wa katiba ya Wananchi >UKAWA<Edward Lowasa ametembelea wagonjwa katika Hospital ya Kilimanjaro CRCT mjini moshi akiwa njiani kuelekea Monduli mkoani Arusha kwa mapumziko ya kuuaga mwaka.
1010087_1398699026811178_4971428481710323074_n.png

Edward Lowasa akimjulia hali Mzee Khalfan Kangero aliyelazwa katika hosptali hiyo CRCT mjini moshi.
Lowasa tunazidi kumwombea afya njema kwa Mungu hakika amekuwa mfano wa kuigwa kwa matendo yako ya kujali wananchi wote bila kuangalia itikadi zao .
 
Back
Top Bottom