Lowassa amewahonga na hawa?

Lowassa amewahonga na hawa?

viroba kaka. hakuna kitu kingine.

Tunashukuru kuwa hadi wanywa viroba wanasifu mabadiliko, jee nyie wapandishaji wa twiga kwenye pipa bado bado hamjastuka wenye nchi wanahitaji nchi yao?
 
hizo honi ndio dalili za mwisho za punda anayekata roho, lazima apige mateke. tatizo manamba wa lowasa hawaujui ukweli ambao lowasa anajua.

lowasa alijua kabisa kitendo cha ccm kumsimamisha Magufuli ndio mwisho wake kisiasa. kwani hamuwezi kimaadili wala kiutendaji.

anajua kabisa baada ya siku chache zijazo ile ndoto yake aliyo iota siku nyingi inaenda kuzikwa na haita kaa ifufuke tena.

na anavyo ipenda pesa akipiga mahesabu ya uwekezaji alio uwekeza na mrejesho kuwa sufuri ana changanyikiwa haswa. ndio hizo honi sasa unazozisikia.

na bado tutashuhudia vituko vingi sana kutoka kwa huyu bwana. kumbuka ni mbobezi wa usanii kwa kusomea.

Baaaaasi.. Magufuli aapishwe tu. Imetosha jamani. Yule Mzee wa Monduli sasa hivi anaweweseka tu.

Sipati picha baada ya uchaguzi mtaishije.maana msiyoyajua anayajua magufuli na jk.
 
Muda huu, kuna vijana maeneo ya Survey, Dar es Salaam wanaimba na kushangilia wakitaja jina la Lowassa.

Honi za magari nazo zinasikika. Sijui ni kampeni, mapenzi au mahaba.

Nao hawa wamehongwa?

Najiuliza hali za wagombea ubunge na udiwani zikoje huko majimboni
 
Hakuna utumwa mbaya zaidi ya utumwa wa akili. Ukiona mtu kutwa hana anachofanya na anaota ndoto ya kufanikiwa,aliyemuibia akimnunulia soda humwita malaika,usimtukane. Kama una Imani timilifu mwombee. Biblis inasema shetani ni baba wa uongo. Wakristo wa kweli( sizungumzii wenye majina ya kikristo) chagueni ukweli au uongo,Giza au nuru. Wafundishe na wengine.
 
Muda huu, kuna vijana maeneo ya Survey, Dar es Salaam wanaimba na kushangilia wakitaja jina la Lowassa.

Honi za magari nazo zinasikika. Sijui ni kampeni, mapenzi au mahaba.

Nao hawa wamehongwa?

Vitu vya kutengeneza kaka..
 
peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssss..........................mabadiriko..............lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hakuna utumwa mbaya zaidi ya utumwa wa akili. Ukiona mtu kutwa hana anachofanya na anaota ndoto ya kufanikiwa,aliyemuibia akimnunulia soda humwita malaika,usimtukane. Kama una Imani timilifu mwombee. Biblis inasema shetani ni baba wa uongo. Wakristo wa kweli( sizungumzii wenye majina ya kikristo) chagueni ukweli au uongo,Giza au nuru. Wafundishe na wengine.

Hwasha unawashwa nyeti
 
Last edited by a moderator:
12072831_913363502033725_334404354181853501_n.jpg

11062423_913363518700390_418659592383644235_n.jpg

12107248_913363548700387_4961843638092574324_n.jpg

Kama kawaida yake, Magufuli ni kipenzi cha Watanzania. Leo ameizika rasmi UKAWA na mgombea wao Lowassa pale Mkuranga. Vifijo na nderemo ziliendelea hata alipo ondaka. Magufuli ambaye ni mgombea wa kiti cha urasi kwa kupitia tiketi ya CCM alisema kuwa, akichaguliwa, basi wafahamu kuwa atafuta ada aya shule kutokea chekechea mpaka kidato cha 6 na atatoa mikopo kwa vikundi vya kina mama na vijana kwa takribani milioni 50.

Hapa Kazi tu

Na Mr. Chin

Mbona unapenda kulazimisha mambo?!
 
Back
Top Bottom