VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Pamoja na kuwepo Arumeru Mashariki kwa kampeni za chinichini na jukwaani,Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa ameshindwa.Ameshindwa kila kitu.Kumtetea mkwewe,kujitetea mwenyewe nk.Lowassa ameonekana wazi,pamoja na kumwaga fedha nyingi kwa ajili ya mapokezi,kuwa si mtu anayevutia.
Hana sera zenye mshiko.U-laigwan wake si lolote.Ni afadhali asingejihusisha kwenye uchaguzi ule!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hana sera zenye mshiko.U-laigwan wake si lolote.Ni afadhali asingejihusisha kwenye uchaguzi ule!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam