Lowassa ameshindwa urais arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa ameshindwa urais arumeru mashariki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 2, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kuwepo Arumeru Mashariki kwa kampeni za chinichini na jukwaani,Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa ameshindwa.Ameshindwa kila kitu.Kumtetea mkwewe,kujitetea mwenyewe nk.Lowassa ameonekana wazi,pamoja na kumwaga fedha nyingi kwa ajili ya mapokezi,kuwa si mtu anayevutia.

  Hana sera zenye mshiko.U-laigwan wake si lolote.Ni afadhali asingejihusisha kwenye uchaguzi ule!

  Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
   
 2. M

  MOSSAD JACOB Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania sasa tumekuwa twajua tofauti ya kiongozi na mfanyabiashara.siku zote giza halichangamani na nuru na hatuitaji manabii walioshindwa na maisha majumbani mwao kututabiria kwamba bwana El ndiye mteule wa Mungu.sisi twasema Mungu hausiki tena bali ametubariki na akili safi.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Shida iko kwa Pamela. Atakuwa anajisikia maumivu kwa kukosa u first lady wa ubunge
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kakataliwa kwa wamasai wenzie je sisi watu baki huku?

  Ngoma mbichi anakazi kweli kutununua kama kakataliwa kwao?
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Siyoi angeshinda Ubunge ingekuwa ujiko kwa Lowassa
   
 6. c

  churchil Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukishachafuka kisiasa umechafuka tu, so mimi namshauri bwana El,( aaaaah hata naona kinyaa kuliandika kwa kirefu jina hili) kuwa hata kama ameshatabiriwa na mchungaji wake TB JOSHUA kuwa ni mrithi wa jk, angeachana tu na mpango huo wa urais na apumzike kwani kama ni hela anazo za kutosha za kula yeye na vitukuu na vilembwe na pengine wasizimalize,and kama ni kuwa fame then imeshatosha coz being fame as the most and respectable fisadi in the country inatosha,kwani haoni mifano ya watu kama akina tony blair? pumzika bwana we m laigwanan
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unataka Kusema Ndio Maana Nape Kafurahia?
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180

  Siyoi hakuwa choice ya CC ya CCM, ndiyo maana kwenye kampeni badala ya kutangaza sera walibaki kutukana matusi.
  Hata baada ya matokeo kutangazwa matokeo Nape alikuwa wa kwanza kutangaza kupongeza.
  Kushindwa kwa Siyoi ni furaha kwa cc ya ccm, na maumivu kwa Lowassa.
  Kikao chao watakachokaa kitu cha kwanza watakachojadili itakuwa ubabe wa Lowassa kwa chama.
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2015
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mwaka mwingine wa pigo kwake ni huu

  Mzee Tupatupa
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2015
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Naona unabii unatimia.
   
 11. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #11
  Jul 10, 2015
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Dah utabiri wa miaka 3 nyuma unatimia?
   
 12. Petro E. Mselewa

  Petro E. Mselewa Verified User

  #12
  Jul 11, 2015
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 7,281
  Likes Received: 9,478
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...