Lowassa amchokonoa Kikwete, Pinda na Membe

lowasa hawezi kufanya ujinga huo, nazan wewe mi mazalia ya kenge
 
Lowasa alikuja Apollo na kuondoka. Wala hakukaa zaidi ya siku 2. Wala hakuja kwaajili ya matibabu. Alikuja kumuona Mtoto wa mdogo wake aliyefanyiwa kidney transplanting hapa Apollo. Hivyo mleta uzi uwe na uhakika na unachopost na si kumsingizia mtu.
 
Escrow inawapa watu genye, tulia ikutekenye, kama vipi nenda MSALANI ukan%*
 
Last edited by a moderator:
huo uzi peleka kwa waliokutuma. hauna mashiko. lowassa ndo rais wako kubali ukatae
 
hahahahahaaa jamaaa huoni aibu unavyokula za usooo!!!
 
Kwa taarifa yako Membe hatakuwa raisi ila mwambie asikate tamaa kutamani mambo makubwa lakini ajitahidi sana kujipambanua tuone uwezo wake binafsi bila kubebwa ili tumfikirie.lkn naskitika amechelewa kwani tayari Lowasa amemtangulia Galilaya.
Mwambie barabara usimfiche!!!
 
Wewe PUNGUANI mwache Lowassa katika ushenzi wenu wa KUFISADI nchi hii na kung'ang'ania Madaraka! Imethibitishwa kuwa Pinda, Werema, Muhongo et al Wamekula fedha za ESCROW pasi na shaka.... Kwanin hawataki kujiuzulu? Lowasa alionyesha kuwa cheo ni dhamana na kuamua kuwajibika... Leo hii tunashuhudia UNAFIQ na Double Standard ya hali ya juu kwenye Uwajibikaji... Ngoja uone Moto wa JK ,...
Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne Edward Ngoyai Lowassa aendeleza vita ya kisiasa dhidi ya anaowaona mahasimu wake kisiasa kuelekea 2015.Akejeli safari ya rais wa Tanzania Mh.Kikwete ughaibuni kutibiwa akidai amekimbia sakata la Escrow na sio kama kweli anaumwa.Lowassa alienda mbali zaidi kwa kuwaeleza wapambe wake kwamba yeye akiwa rais hawezi kukimbia matatizo bali angeyakabili.Ajabu ni kwamba Lowassa naye anayaongea hayo akiwa nchini India kimatibabu katika hospitali ya Apollo na sio bungeni kama wafanyavyo wengine.

Pia Lowassa kuonesha anaumizwa na namna Pm Pinda anavyokabili mashambulizi yake na ya watu wake ameanzisha propaganda katika mitandao na magazeti ya nchini Tanzania na nje ya nchi akishirikiana na Rostam Aziz kushinikiza Pinda ajiuzulu kama alivyofanya yeye 2008.Lowassa anamshawishi Pinda ajiuzulu ili 2015 wafe wote wakiondolewa kugombea urais kwa tiketi ya Ccm.Ujio wa Pinda umezidi kumuumiza kisiasa.

Lakini bado Lowassa ana uadui mkubwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe!Hii inajidhirisha katika yale anayoandika au kuandikiwa na vijana wake iwe ni kwa kubuni au kuwatuma katika mitandao kuandika kuwa Membe alishiriki kuiangusha serikali 2008.

Lowassa hajui propaganda.Kila anachomfitini Membe kinakosa nguvu na kumjenga Membe.
 
Allan halid Kiluvia wacha uzushi na uongo...ninyi mmetengeneza anuani ya twita mkaipachika jina lowassa mkaanza kutupia uongo na uzushi...lakini mmegundulika....hamuwezi na hamutaweza kamwe kuchonganisha viongozi...labda mfanye hivyo kwa mbowe na slaa

Utaenda Saa Ngapi Kuchukuwa Hela Yako Kwa Mr. Mangoes Na Leo Unamwandalia Bao Ngapi BASHA Wako Huyo AKUGEGEDE? Je Na Yeye Ameshapona Mimacho Yake? Bora Tuwe Na Rais Anayetetemeka KULIKO KIPOFU Wako Mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom