Lowassa amchokonoa Kikwete, Pinda na Membe

Sauti ya Rondo

Senior Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
127
Reaction score
226
Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne Edward Ngoyai Lowassa aendeleza vita ya kisiasa dhidi ya anaowaona mahasimu wake kisiasa kuelekea 2015.Akejeli safari ya rais wa Tanzania Mh.Kikwete ughaibuni kutibiwa akidai amekimbia sakata la Escrow na sio kama kweli anaumwa.Lowassa alienda mbali zaidi kwa kuwaeleza wapambe wake kwamba yeye akiwa rais hawezi kukimbia matatizo bali angeyakabili.Ajabu ni kwamba Lowassa naye anayaongea hayo akiwa nchini India kimatibabu katika hospitali ya Apollo na sio bungeni kama wafanyavyo wengine.

Pia Lowassa kuonesha anaumizwa na namna Pm Pinda anavyokabili mashambulizi yake na ya watu wake ameanzisha propaganda katika mitandao na magazeti ya nchini Tanzania na nje ya nchi akishirikiana na Rostam Aziz kushinikiza Pinda ajiuzulu kama alivyofanya yeye 2008.Lowassa anamshawishi Pinda ajiuzulu ili 2015 wafe wote wakiondolewa kugombea urais kwa tiketi ya Ccm.Ujio wa Pinda umezidi kumuumiza kisiasa.

Lakini bado Lowassa ana uadui mkubwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe!Hii inajidhirisha katika yale anayoandika au kuandikiwa na vijana wake iwe ni kwa kubuni au kuwatuma katika mitandao kuandika kuwa Membe alishiriki kuiangusha serikali 2008.

Lowassa hajui propaganda.Kila anachomfitini Membe kinakosa nguvu na kumjenga Membe.
 
humuwezi lowasa wewe, kama vipi kojoa ukalale.
 
ImageUploadedByJamiiForums1417258094.374724.jpg
 
haya nimekusoma team membe ila bado nipo busy na skerewu ya davido pale dom
 
Uongo haulipi wewe,hela mmepiga wenyewe na baba zenu majizi lawama mnazipeleka kwa Lowassa
 
Sisi watu tuliona na upeo iwe Lowasa Member au Pinda hawana nafasi kwetu .CCM kwetu no
 
Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne Edward Ngoyai Lowassa aendeleza vita ya kisiasa dhidi ya anaowaona mahasimu wake kisiasa kuelekea 2015.Akejeli safari ya rais wa Tanzania Mh.Kikwete ughaibuni kutibiwa akidai amekimbia sakata la Escrow na sio kama kweli anaumwa.Lowassa alienda mbali zaidi kwa kuwaeleza wapambe wake kwamba yeye akiwa rais hawezi kukimbia matatizo bali angeyakabili.Ajabu ni kwamba Lowassa naye anayaongea hayo akiwa nchini India kimatibabu katika hospitali ya Apollo na sio bungeni kama wafanyavyo wengine.

Pia Lowassa kuonesha anaumizwa na namna Pm Pinda anavyokabili mashambulizi yake na ya watu wake ameanzisha propaganda katika mitandao na magazeti ya nchini Tanzania na nje ya nchi akishirikiana na Rostam Aziz kushinikiza Pinda ajiuzulu kama alivyofanya yeye 2008.Lowassa anamshawishi Pinda ajiuzulu ili 2015 wafe wote wakiondolewa kugombea urais kwa tiketi ya Ccm.Ujio wa Pinda umezidi kumuumiza kisiasa.

Lakini bado Lowassa ana uadui mkubwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe!Hii inajidhirisha katika yale anayoandika au kuandikiwa na vijana wake iwe ni kwa kubuni au kuwatuma katika mitandao kuandika kuwa Membe alishiriki kuiangusha serikali 2008.

Lowassa hajui propaganda.Kila anachomfitini Membe kinakosa nguvu na kumjenga Membe.

Weka source hapa tujiridhishe isije ikawa una.w.a..sh..We. A na voda
 
Heh! Yuko India na hao wapambe wake? Wewe mleta mada ni punguani unasahau ulivyoanza mwanzo unajichanganya njiani. Kama kuna watu wanaokutumia mzoga kama wewe, basi nao akili zao ni chini ya uwezo wa akili ya mwalimu Mariam Kisanji.
 
Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne Edward Ngoyai Lowassa aendeleza vita ya kisiasa dhidi ya anaowaona mahasimu wake kisiasa kuelekea 2015.Akejeli safari ya rais wa Tanzania Mh.Kikwete ughaibuni kutibiwa akidai amekimbia sakata la Escrow na sio kama kweli anaumwa.Lowassa alienda mbali zaidi kwa kuwaeleza wapambe wake kwamba yeye akiwa rais hawezi kukimbia matatizo bali angeyakabili.Ajabu ni kwamba Lowassa naye anayaongea hayo akiwa nchini India kimatibabu katika hospitali ya Apollo na sio bungeni kama wafanyavyo wengine.

Pia Lowassa kuonesha anaumizwa na namna Pm Pinda anavyokabili mashambulizi yake na ya watu wake ameanzisha propaganda katika mitandao na magazeti ya nchini Tanzania na nje ya nchi akishirikiana na Rostam Aziz kushinikiza Pinda ajiuzulu kama alivyofanya yeye 2008.Lowassa anamshawishi Pinda ajiuzulu ili 2015 wafe wote wakiondolewa kugombea urais kwa tiketi ya Ccm.Ujio wa Pinda umezidi kumuumiza kisiasa.

Lakini bado Lowassa ana uadui mkubwa na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh.Bernard Kamillius Membe!Hii inajidhirisha katika yale anayoandika au kuandikiwa na vijana wake iwe ni kwa kubuni au kuwatuma katika mitandao kuandika kuwa Membe alishiriki kuiangusha serikali 2008.

Lowassa hajui propaganda.Kila anachomfitini Membe kinakosa nguvu na kumjenga Membe.

​Habari ya mjini ni ESCROW hayo kayapeleke kwa kima wenzio wenye IQ ndogo
 
Lowasa mwizi lakini pia kazi yake ilikuwa inaonekana angeendelea kuwa PM hizi shule za kata zingekuwa mbali.
Pinda yupo busy kufuga wezi,refer meremeta,escrow halafu ubunifu na utendaji sifuri hana maana Pinda hafai kuwa PM na Uraisi kumpa Pinda ni mateso tunajitemgenezea.
 
Back
Top Bottom